MAALIM SEIF ASAFIRI KWA BOTI KWENDA DAR NA KURUDI ZANZIBAR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam. Aliondoka Zanzibar jana saa 9:30 jioni kwa boti ya (Kilimanjaro 1V) na kurejea kutoka Dar es Salaam leo saa 5:30 asubuhi kwa boti ya (Kilimanjaro 111) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMaalim Seif atumia Boti kwenda na kurudi Dar
10 years ago
MichuziKINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAFIA, ASAFIRI KWA BOTI PAMOJA NA WANANCHI
Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya CCM Wilaya ya Rufiji. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Maalim Seif: Siwezi kamwe kurudi CCM hii ya sasa
10 years ago
VijimamboKINANA ASAFIRI KWA MASAA 14 KWENYE ZIWA VICTORIA KWENDA KISIWANI IRUGWA NA KUTUMIA MASAA MANNE MENGINE KWENDA KISIWA CHA UKARA KISI
11 years ago
MichuziPINDA ASAFIRI KWA TRENI KWENDA READING KUZUNGUMZA NA WATANZANIA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipanda treni kutoka Reading kwenda London Uingereza baada ya kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
MichuziMGOMBEA URAIS ZANZIBAR (CUF) MAALIM SEIF AOMBA KURA KWA WAKAZI WA BUBUBU
Akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kwageji Bububu, Maalim Seif amesema atarekebisha mfumo wa ushuru katika bandari ili kuepusha wafanyabiashara kulipa ushuru mara mbili wanaposafirisha mizigo yao kuelekea bandari ya...
11 years ago
MichuziMaalim Seif afungua mafunzo kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria,Zanzibar leo
10 years ago
MichuziMaalim Seif afungua mkutano wa kimataifa wa siku nne wa muziki kwa nchi za jahazi, Zanzibar
BOFYA HAPA KWA HABARI...