MGOMBEA URAIS ZANZIBAR (CUF) MAALIM SEIF AOMBA KURA KWA WAKAZI WA BUBUBU
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao.
Akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kwageji Bububu, Maalim Seif amesema atarekebisha mfumo wa ushuru katika bandari ili kuepusha wafanyabiashara kulipa ushuru mara mbili wanaposafirisha mizigo yao kuelekea bandari ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar
9 years ago
Mzalendo Zanzibar09 Oct
Mjue M.Seif — Mgombea urais kwa ticket ya CUF
Salma Said Nipo Kisiwani Pemba ni saa 12 asubuhi naingia garini kutoka Chake Chake naelekea Mtambwe ni kilomita 34 ni mwendo wa kasi ili nifike mapema, kila upande ninapoangaza macho yangu yanakutana na miti mingi sana […]
The post Mjue M.Seif – Mgombea urais kwa ticket ya CUF appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Maalim Seif mgombea pekee ukatibu mkuu CUF
11 years ago
Habarileo23 Jun
UCHAGUZI WA CUF:Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.
10 years ago
Mtanzania25 May
CUF-Maalim Seif asiachiwe urais mwenyewe
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewataka wanachama wake wenye sifa za kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho, Omar Ali Shehe, amewaambia waandishi wa habari jana kwamba, wanachama wanatakiwa wasimuachie Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad, kuchukua fomu ya urais peke yake.
“Tunawataka wanachama wenye sifa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea urais, wasimuachie Maalim...
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Maalim Seif azindua ilani ya CUF Zanzibar
10 years ago
Mwananchi01 Jun
Maalim Seif: Najisikia raha kuwa mgombea pekee wa urais Z’bar
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cjC1ZVn10Jk/VQ1rSOLtkZI/AAAAAAAHL8k/xUa50LlABWk/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZEE WA CUF MJINI ZANZIBAR LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-cjC1ZVn10Jk/VQ1rSOLtkZI/AAAAAAAHL8k/xUa50LlABWk/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PBwfq1KH41I/VQ1rR5wJZjI/AAAAAAAHL8g/1uYeJ3szVAI/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-urIdvEjMj0c/VQ1rT5-36pI/AAAAAAAHL80/jm9cqjL8B64/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-N_4y_JygePg/VQ1rTLc7deI/AAAAAAAHL8w/Ab-k8d3QbpE/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Maalim Seif hatoshi urais wa Zanzibar — Vuai
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka Wazanzibari wasimchague Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad, iwapo atawania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Kimedai Maalim Seif, hana utashi na dhamira...