CUF-Maalim Seif asiachiwe urais mwenyewe
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewataka wanachama wake wenye sifa za kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho, Omar Ali Shehe, amewaambia waandishi wa habari jana kwamba, wanachama wanatakiwa wasimuachie Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad, kuchukua fomu ya urais peke yake.
“Tunawataka wanachama wenye sifa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea urais, wasimuachie Maalim...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMGOMBEA URAIS ZANZIBAR (CUF) MAALIM SEIF AOMBA KURA KWA WAKAZI WA BUBUBU
Akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kwageji Bububu, Maalim Seif amesema atarekebisha mfumo wa ushuru katika bandari ili kuepusha wafanyabiashara kulipa ushuru mara mbili wanaposafirisha mizigo yao kuelekea bandari ya...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Maalim Seif ajivunia mafanikio CUF
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema mafanikio na changamoto katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, viwe vitendea kazi kwa uongozi mpya utakaopatikana baada ya...
11 years ago
Habarileo01 Jun
Maalim Seif aita washindani CUF
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho, na kusisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha Wazanzibari.
10 years ago
MichuziMAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZEE WA CUF
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AZUNGUMUZA NA WAZEE CUF
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Maalim Seif azindua ilani ya CUF Zanzibar
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Maalim Seif aitabiria CUF ushindi mkubwa
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Maalim Seif: CUF jipange kwa uchaguzi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kuanzisha mitandao ya kupeana taarifa kuhamasishana na kusaidiana kutafuta vitambulisho vya kupigia...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Lipumba, Maalim Seif waongoza tena CUF
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amechaguliwa tena kuendelea na wadhifa huo. Ingawa matokeo kamili ya uchaguzi huo yanatarajiwa kutangazwa leo, lakini taarifa za awali tulizozipata wakati...