Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif azindua ilani ya CUF Zanzibar

Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar kimezindua ilani yake inayoainisha vipaumbele 35 ambavyo kitavifanyia kazi chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa iwapo kitashinda Oktoba 25.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZEE WA CUF MJINI ZANZIBAR LEO

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani, Zanzibar, leo  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani, Zanzibar, leo Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani.Sehemu ya wazee wa CUF wa Wilaya sita za Unguja waliohudhuria mkutano huo (picha na Hassan Hamad,...

 

10 years ago

Dewji Blog

KINANA atinga jimbo la Mtambwe alikozaliwa Maalim Seif Sharrif Hamad wa CUF, azindua miradi ya Umeme, Maji

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR (CUF) MAALIM SEIF AOMBA KURA KWA WAKAZI WA BUBUBU

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao.
Akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kwageji Bububu, Maalim Seif amesema atarekebisha mfumo wa ushuru katika bandari ili kuepusha wafanyabiashara kulipa ushuru mara mbili wanaposafirisha mizigo yao kuelekea bandari ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akijibu maswali ya wanafunzi wa vyuo vikuu baada ya kuzindua ajenda ya chama chake ya kuifanya Zanzibar, kuwa kama Singapore. Na Hassan Hamad, OMKR […]

The post Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

Maalim seif azindua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Zanzibar

Na Hassan Hamad (OMKR) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewasisitiza waislamu nchini kuachana na tabia ya kugombania misikiti, kwani haisaidii kuendeleza dini hiyo. Amesema misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu, hivyo hakuna sababu kwa waislamu kulumbana kwa sababu za kugombea uongozi au kutokana na tofauti ya kimadhehebu. Maalim Seif ametoa nasaha hizo wakati akifungua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Wilaya ya Kati...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ufunguzi wa ilani ya CUF Zanzibar

Zanzibar. Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar kimezindua ilani yake inayoainisha vipaumbele 35 ambavyo kitavifanyia kazi chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa iwapo kitashinda Oktoba 25. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ilani […]

The post Ufunguzi wa ilani ya CUF Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZEE WA CUF

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa chama hicho (hawapo pichani) katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani,Mjini Unguja,Zanzibar. Baadhi ya wazee wa CUF wa Wilaya sita za Unguja waliohudhuria mkutano huo (picha na Hassan Hamad, OMKR)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif ajivunia mafanikio CUF

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema mafanikio na changamoto katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, viwe vitendea kazi kwa uongozi mpya utakaopatikana baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Maalim Seif aita washindani CUF

 Maalim Seif Sharif HamadKATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho, na kusisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha Wazanzibari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani