Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA atinga jimbo la Mtambwe alikozaliwa Maalim Seif Sharrif Hamad wa CUF, azindua miradi ya Umeme, Maji

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AZINDUA MASKANI YA VIJANA WALOHAMIA CCM KUTOKA CUF HUKO MITAMBUUNI, MTAMBWE

MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Mitambuuni Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.) MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Sief Ali Iddi, akisikiliza maelezo ya mwenyekiti wa Maskani ya Vumilia Mitambuuni Mtambwe waliohama CUF na kujiunga na CCM.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MJUMBE wa kamati kuu ya CCM...

 

9 years ago

Michuzi

Maalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro Kisiwani Pemba.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mgombea uwakilishi wa CUF Jimbo la Ole baada ya kutambulishwa kwa wagombea rasmi wa Ubunge na Uwakilishi.Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA KAMATI ZA USHINDI ZA WANAWAKE KISIWANI PEMBA



Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wajumbe wa Kamati za Ushindi za Wanawake wa CUF kutoka Wilaya nne za Pemba huko skuli ya Fidel Castro.

Wajumbe wa Kamatui za Ushindi za Wanawake kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hanmad mara baada ya kuzindua kamati hizo huko skuli ya Fidel Castro mkoa wa Kuisni Pemba.


Na. OMKR Zanzibar


Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad leo amezindua Kamati za Ushindi za...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif azindua ilani ya CUF Zanzibar

Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar kimezindua ilani yake inayoainisha vipaumbele 35 ambavyo kitavifanyia kazi chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa iwapo kitashinda Oktoba 25.

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad aagiza eneo la linaloingia maji chumvi kilimani lilejeshwe serikalini

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameiagiza Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar kukubaliana na mtu aliyepewa eneo linaloingia maji ya chumvi lililopo Kilimani, ili liweze kurejeshwa serikalini.  Amesema eneo hilo lililokuwa likitumika kwa shughuli za kilimo, pia lipo karibu na makaazi ya watu pamoja na ofisi za serikali ikiwemo Tume ya Uchaguzi Zanzibar, na kwamba iwapo litaachiwa linaweza kuleta athari kubwa.  Maalim Seif ametoa agizo hilo...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama na wapenzi wa CUF Kiembesamaki, Unguja, leo

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama wa Kiembesamaki na kuwaomba wamuunge Mkono leo Unguja Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki (CCM) Mansour Yussuf Himid, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika jimboni humo. Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AUNGURUMA JIMBO LA MAALIM SEIF


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AZINDUA UVUNAJI WA MATIKITI MAJI NA PILIPILI BOGA, SHEHIA YA DONGE MCHANGANI


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizindua uvunaji wa matikiti maji kwa wakulima wa shehia ya Donge Muwanda.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na badhi ya wakulima wa Donge Mchangani na Muwanda, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Affan Othman Maalim (wa pili kushoto). Picha na OMKR.

              Na: Hassan Hamad (OMKR)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani