Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI SEIF AZINDUA MASKANI YA VIJANA WALOHAMIA CCM KUTOKA CUF HUKO MITAMBUUNI, MTAMBWE

MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Mitambuuni Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.) MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Sief Ali Iddi, akisikiliza maelezo ya mwenyekiti wa Maskani ya Vumilia Mitambuuni Mtambwe waliohama CUF na kujiunga na CCM.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MJUMBE wa kamati kuu ya CCM...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWAPOKEA VIJANA WALIOJIUNGA NA CCM NA KUANZISHA MASKANI KIJIJI CHA KINAZINI MTAMBWE KUSINI

Kijana Ali Abdulla Bakari wa Balozi Seif Maskani ya kijiji cha Kinazini Mtambwe Kusini akieleza changamoto zinazowakabili wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif alipofanya ziara ya kuwatembelea baada ya uamuzi wao wa kujiunga na CCM na kuachana na upinzani. Balozi Seif akizungumza na Wana CCM na wanamaskani wa Balozi Seif wa Kinazini Mtambwe na kuahidi kwamba CCM inasaidia ujenzi wa Jengo la Maskani yao waliyoianzisha.
Balozi Seif akimkabidhi mchango wa shilingi Milioni...

 

9 years ago

Michuzi

Balozi seif ali iddi azindua maskani kijijini kinazini, Mtambwe Kusini

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Chama hicho kiko makini katika kumuengua Mwanachama wake ye yote anayetumia hila katika mchakato wa kutaka achaguliwe kuwa Kiongozi kupitia chama hicho. Kauli hiyo aliitoa wakati akizungumza na Vijana walioamua kutoka chama cha Upinzani na kujiunga na CCM ambapo wameanzisha Maskani iliyopewa jina la Balozi Seif Maskani hapo katika Kijiji cha Kinazini Mtambwe Kusini. Balozi Seif ambae alipata wasaa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

KINANA atinga jimbo la Mtambwe alikozaliwa Maalim Seif Sharrif Hamad wa CUF, azindua miradi ya Umeme, Maji

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALLI IDD: NIAIBU KUONA KIJIJI CHA MITAMBUUNI KUKOSE HUDUMA YA SKULI

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wananchi na wana CCM wa Kijiji cha Mitambuuni alipofika kuwasailia akiwa katika ziara ya Kisiwa cha Pemba. Balozi Seif akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Kijiji cha Mitambuuni Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, kulia yake ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa na kushoto yake ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM ya Mkoa huo Omar Khamis Othman.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif azindua ilani ya CUF Zanzibar

Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar kimezindua ilani yake inayoainisha vipaumbele 35 ambavyo kitavifanyia kazi chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa iwapo kitashinda Oktoba 25.

 

9 years ago

Mwananchi

CUF yamkana Balozi Seif Iddi

Chama cha Wananchi CUF kimemkana Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kikieleza kuwa msimamo wake wa kukataa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo uko palepale.

 

9 years ago

Vijimambo

Mkutano wa CUF Mtambwe

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika viwanja vya Uondwe Mtambwe.  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.

  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.  Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi...

 

9 years ago

Vijimambo

Balozi Seif azindua mradi wa uchimbaji wa visima Chumbuni

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua mradi wa uchimbaji Visima vya Maji Zanzibar unaofadhiliwa na Mtawala wa Ras Al - Khaimah hapo Chumbuni.Balozi Seif akishuhudi kasi ya maji inayotoka miongoni mwa Visima 50 vilivyochimbwa maeneo mbali mbali ya Zanzibar hapo Chumbuni ndani ya iliyokuwa zamani studio ya Sauti ya Tanzania Zanzibar.Balozi Seif akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Rak Gas ya Ras Al-Khaimah Bwana Kamal Ataya...

 

11 years ago

GPL

BALOZI SEIF IDD AZINDUA MAONYESHO YA SABASABA DAR

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi amezindua rasmi maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar mchana huu. Maonyesho ya mwaka huu yaliyoanza Juni 28, 2014 yanashirikisha waonyeshaji bidhaa zaidi ya 1,200 kati yake Wizara, Idara na wakala za serikali zaidi ya 60 na makampuni zaidi ya 400 ya kimataifa. Mataifa 31 yanashiriki maonyesho ya mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani