Maalim Seif Sharif Hamad aagiza eneo la linaloingia maji chumvi kilimani lilejeshwe serikalini
![](http://4.bp.blogspot.com/-7UviuGsaCRQ/UvyEuSied_I/AAAAAAAFMvA/CFAUQTVglYA/s72-c/unnamed.jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameiagiza Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar kukubaliana na mtu aliyepewa eneo linaloingia maji ya chumvi lililopo Kilimani, ili liweze kurejeshwa serikalini. Amesema eneo hilo lililokuwa likitumika kwa shughuli za kilimo, pia lipo karibu na makaazi ya watu pamoja na ofisi za serikali ikiwemo Tume ya Uchaguzi Zanzibar, na kwamba iwapo litaachiwa linaweza kuleta athari kubwa. Maalim Seif ametoa agizo hilo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cu2qYYyNUzc/UvozjuZUoII/AAAAAAAFMZA/TvN4uDVriHc/s72-c/unnamed+(90).jpg)
Maalim Seif atembelea sehemu inayoingia maji ya chumvi katika eneo la Kilimani mjini Zanzibar
![](http://1.bp.blogspot.com/-cu2qYYyNUzc/UvozjuZUoII/AAAAAAAFMZA/TvN4uDVriHc/s1600/unnamed+(90).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VTJeoqxs75o/Uvozj963obI/AAAAAAAFMZI/PpFz656mz18/s1600/unnamed+(91).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tD5wO4IkCWo/Uvozj0EjuZI/AAAAAAAFMZE/2mR94Uck0ZE/s1600/unnamed+(92).jpg)
9 years ago
IPPmedia31 Oct
Maalim Seif Sharif Hamad
IPPmedia
IPPmedia
Civic United Front (CUF) General Secretary and Zanzibar presidential candidate, Maalim Seif Sharif Hamad, has issued a three-day ultimatum to the Zanzibar government to proceed with the release of election results or let Zanzibaris decide their fate.
9 years ago
MichuziMaalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Nilimwachia huru Maalim Seif Sharif Hamad - Jaji Ramadhani
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MRuvCX_795w/U8rtuRjwPaI/AAAAAAAF3zw/qHiGf4up6Rc/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s72-c/MMGL1355.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s640/MMGL1355.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PEHTXMA_vyI/Vdn0mponBbI/AAAAAAAAYII/GvesfgUN41o/s640/MMGL1349.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s72-c/Aaa.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA KAMATI ZA USHINDI ZA WANAWAKE KISIWANI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s640/Aaa.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wajumbe wa Kamati za Ushindi za Wanawake wa CUF kutoka Wilaya nne za Pemba huko skuli ya Fidel Castro.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ze4jKryF0-s/VewRDBXr3qI/AAAAAAABG7U/74GAvt47nIU/s640/Aa1.jpg)
Wajumbe wa Kamatui za Ushindi za Wanawake kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hanmad mara baada ya kuzindua kamati hizo huko skuli ya Fidel Castro mkoa wa Kuisni Pemba.
Na. OMKR Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad leo amezindua Kamati za Ushindi za...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CQ2mkNw5I-w/VWtA_jiQcOI/AAAAAAAHbA0/ZQB4LwYRqW0/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-CQ2mkNw5I-w/VWtA_jiQcOI/AAAAAAAHbA0/ZQB4LwYRqW0/s640/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Dv9J0lhRyGQ/VWtA_6HmImI/AAAAAAAHbBI/JceycW54RSs/s640/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-12CFlcrGyu8/Uv_GoPv0RfI/AAAAAAAFNZE/g-QVzUCqvyM/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad apokea pikipiki kwa ajili ya Kisarawe na bagamoyo