Maalim Seif Sharif Hamad apokea pikipiki kwa ajili ya Kisarawe na bagamoyo
![](http://3.bp.blogspot.com/-12CFlcrGyu8/Uv_GoPv0RfI/AAAAAAAFNZE/g-QVzUCqvyM/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewakumbusha viongozi wa majimbo kutekeleza ahadi wanazozitoa kwa wananchi, ili kujijengea uaminifu katika maeneo yao. Maalim Seif ametoa kauli hiyo katika ofisi kuu ya CUF Buguruni, baada ya kupokea pikipiki mbili kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe. Yussuf Salim Hussein (CUF), kwa ajili ya Wilaya za Kisarawe na Bagamoyo. Amesema kukabidhiwa kwa pikipiki hizo zenye thamani ya shilingi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
IPPmedia31 Oct
Maalim Seif Sharif Hamad
IPPmedia
IPPmedia
Civic United Front (CUF) General Secretary and Zanzibar presidential candidate, Maalim Seif Sharif Hamad, has issued a three-day ultimatum to the Zanzibar government to proceed with the release of election results or let Zanzibaris decide their fate.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NpHI6hdhtPs/VQ7nQcVkTBI/AAAAAAAHMOI/djwll7rAVik/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama na wapenzi wa CUF Kiembesamaki, Unguja, leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-NpHI6hdhtPs/VQ7nQcVkTBI/AAAAAAAHMOI/djwll7rAVik/s1600/unnamed%2B(61).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-p1dvjgONdeg/VQ7nPLRXu5I/AAAAAAAHMOA/jfx-qJ4EJTA/s1600/unnamed%2B(62).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DL5gBZbwS8c/VQ7nRV5NkII/AAAAAAAHMOU/Ge0grmUQWyY/s1600/unnamed%2B(63).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-p9i-w94Y6O4/VQ7nQnJsOxI/AAAAAAAHMOM/dVo6dNlFNzw/s1600/unnamed%2B(64).jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Nilimwachia huru Maalim Seif Sharif Hamad - Jaji Ramadhani
9 years ago
MichuziMaalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba
10 years ago
MichuziMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MRuvCX_795w/U8rtuRjwPaI/AAAAAAAF3zw/qHiGf4up6Rc/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s72-c/MMGL1355.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s640/MMGL1355.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PEHTXMA_vyI/Vdn0mponBbI/AAAAAAAAYII/GvesfgUN41o/s640/MMGL1349.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s72-c/Aaa.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA KAMATI ZA USHINDI ZA WANAWAKE KISIWANI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s640/Aaa.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wajumbe wa Kamati za Ushindi za Wanawake wa CUF kutoka Wilaya nne za Pemba huko skuli ya Fidel Castro.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ze4jKryF0-s/VewRDBXr3qI/AAAAAAABG7U/74GAvt47nIU/s640/Aa1.jpg)
Wajumbe wa Kamatui za Ushindi za Wanawake kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hanmad mara baada ya kuzindua kamati hizo huko skuli ya Fidel Castro mkoa wa Kuisni Pemba.
Na. OMKR Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad leo amezindua Kamati za Ushindi za...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CQ2mkNw5I-w/VWtA_jiQcOI/AAAAAAAHbA0/ZQB4LwYRqW0/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-CQ2mkNw5I-w/VWtA_jiQcOI/AAAAAAAHbA0/ZQB4LwYRqW0/s640/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Dv9J0lhRyGQ/VWtA_6HmImI/AAAAAAAHbBI/JceycW54RSs/s640/unnamed%2B%252814%2529.jpg)