Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif: Najisikia raha kuwa mgombea pekee wa urais Z’bar

>Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho na kusema anajisikia raha kuwa mgombea pekee akiwa na dhamira ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kuwatumikia Wazanzibari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim LipumbaMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif mgombea pekee ukatibu mkuu CUF

>Wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad (Maalim Seif) akiwa mgombea pekee wa nafasi ya katibu mkuu wa chama hicho, makada wawili wamejitokeza kumvaa Profesa Lipumba katika nafasi ya uenyekiti.

 

11 years ago

Habarileo

UCHAGUZI WA CUF:Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim LipumbaMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar.

NA RAHMA SULEIMAN 7th September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia United Democratic Party (UPDP) Mwajuma Ali Khamis, ameshindwa kurejesha fomu na kukosa sifa ya kugombea. Mwajuma alikuwa miongoni mwa wagombea 15 waliochukua fomu Tume ya […]

The post Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar

Maalim Seif Sharifu Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar anagombea urais wa Zanzibar

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR (CUF) MAALIM SEIF AOMBA KURA KWA WAKAZI WA BUBUBU

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao.
Akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kwageji Bububu, Maalim Seif amesema atarekebisha mfumo wa ushuru katika bandari ili kuepusha wafanyabiashara kulipa ushuru mara mbili wanaposafirisha mizigo yao kuelekea bandari ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif: Z`bar hatuikubali Katiba

Awataka wananchi waikataeChama cha Wananchi (CUF) kimesema hakiikubali Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haina maslahi ya wananchi wa Zanzibar.Badala yake chama hicho kimewataka Wazanzibari waikatae Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK).

Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Demokrasia vya Kibanda Maiti, mjini Zanzibar.

“Wananchi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Karume, Maalim Seif wakutana faragha Z’bar

>Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya sita, Dk Amani Abeid Karume amekutana na viongozi wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar na kujadiliana hali ya kisiasa iliyojitokeza katika mjadala wa Katiba Mpya, pamoja na kujitoa kwa wabunge wa Ukawa kwenye vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif kuleta mapinduzi ya kilimo Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chini ya uongozi wake atahakikisha anamjengea uwezo mkulima, kwa lengo la kumwezesha kuinuka kiuchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani