Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Karume, Maalim Seif wakutana faragha Z’bar

>Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya sita, Dk Amani Abeid Karume amekutana na viongozi wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar na kujadiliana hali ya kisiasa iliyojitokeza katika mjadala wa Katiba Mpya, pamoja na kujitoa kwa wabunge wa Ukawa kwenye vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Maalim Seif na Lowassa wakutana Dar

SEIF NA LOWASSANa Elias Msuya

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chadema, Edward Lowassa, jijini Dar es Salaam jana na kusisitiza kuwa CUF haitarudia uchaguzi uliofutwa visiwani humo.Edward Lowassa

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya mkutano huo wa ndani, Maalim Seif alisema uchaguzi huo ulifutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salum Jecha binafsi.

“Msimamo...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA MH. LOWASSA WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Jana, jijini Dar es salaam. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa katika Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif: Z`bar hatuikubali Katiba

Awataka wananchi waikataeChama cha Wananchi (CUF) kimesema hakiikubali Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haina maslahi ya wananchi wa Zanzibar.Badala yake chama hicho kimewataka Wazanzibari waikatae Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK).

Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Demokrasia vya Kibanda Maiti, mjini Zanzibar.

“Wananchi,...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA AMANI KARUME WASHIRIKI KWENYE FUTARI YA PAMOJA MASJID IMANI UNGUJA

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na waislamu mbali mbali wakati akiwasili “Masjid Imani” iliyoko Mbweni kwa ajili ya kufutari. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, wakisalimiana na waislamu mbali mbali katika “Masjid Imani” iliyoko Mbweni walipofika kwa ajili ya kufutari. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, akipokea zawadi ya misahafu kutoka kwa...

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif akagua maendeleo ya ujenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa amani karume, zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa miradi mitatu inayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. 
Miradi hiyo inahusisha ukarabati na ujenzi wa njia za kupitia ndege wakati wa kuruka pamoja na sehemu ya maegesho ya ndege, ujenzi wa uzio wa eneo la uwanja wa ndege, pamoja na ujenzi wa jingo jipya la abiria (Terminal 2). 
Akizungumza katika ziara ya kutembelea miradi hiyo...

 

10 years ago

TheCitizen

Maalim Seif: This is my plan for Z’bar after 2015 polls

>The Civic United Front (CUF) yesterday talked up its election hopes, with Secretary General Maalim Seif Sharif Hamad painting a picture of an economically prosperous Zanzibar after the October 2015 General Election.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar.

NA RAHMA SULEIMAN 7th September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia United Democratic Party (UPDP) Mwajuma Ali Khamis, ameshindwa kurejesha fomu na kukosa sifa ya kugombea. Mwajuma alikuwa miongoni mwa wagombea 15 waliochukua fomu Tume ya […]

The post Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif kuleta mapinduzi ya kilimo Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chini ya uongozi wake atahakikisha anamjengea uwezo mkulima, kwa lengo la kumwezesha kuinuka kiuchumi.

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: CCM ijiandae kisaikolojia kukabidhi Z’bar

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ameitaka CCM kujiandaa kisaikolojia kukabidhi madaraka kwa chama chake baada ya Oktoba, akisema katika chama chake hakutakuwa na neno “kushindwa”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani