Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar

Maalim Seif Sharifu Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar anagombea urais wa Zanzibar

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha mkoba wenye Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23, 2015, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, (ZEC), kwenye Ukumbi wa Salama, Bwawani, Zanzibar.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akimkabidhi Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23,...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR (CUF) MAALIM SEIF AOMBA KURA KWA WAKAZI WA BUBUBU

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao.
Akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kwageji Bububu, Maalim Seif amesema atarekebisha mfumo wa ushuru katika bandari ili kuepusha wafanyabiashara kulipa ushuru mara mbili wanaposafirisha mizigo yao kuelekea bandari ya...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad mgeni rasmi katika mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi zawadi kwa mmoja kati ya wanafunzi waliofanya vizuri katika chuo hicho.  Mwenyekiti wa bodi ya Chuo Cha Uandishi wa Habari Zanzibar Bw. Chande Omar akitoa ushauri wake kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar, katika Viwanja vya Wizara ya Habari, Mnazi mmoja. Makamu...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Najisikia raha kuwa mgombea pekee wa urais Z’bar

>Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho na kusema anajisikia raha kuwa mgombea pekee akiwa na dhamira ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kuwatumikia Wazanzibari.

 

10 years ago

Mwananchi

Hamad Rashid, Maalim Seif uso kwa uso Zanzibar

Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe nchini, Hamad Rashid Mohamed, atavaana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad katika kinyang’anyiro cha urais visiwani Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Seif Sharif Hamad, akiwa na ujumbe wa SMZ mjini Doha kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali nchini Qatar. Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Massoud (kushoto), akiwa na viongozi wengine wa SMZ tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar.Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, akibadilishana mawazo na maofisa wa mambo ya nje, tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar....

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Zanzibar,Bara zipokezane urais

>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kwa mfumo wa muungano uliopo, ni vyema kila upande ukawa unatoa rais kila baada ya miaka 10.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatihati ya Maalim Seif kushinda urais Zanzibar

Tayari Maalim Seif  Sharifu  Hamadi,  ameshachukua fomu ili kuomba ridhaa ya chama chake kimkubalie tena kukiwakilisha kwa mara ya tano mfululizo kugombea kiti cha urais wa Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani