Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif hatoshi urais wa Zanzibar — Vuai

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka Wazanzibari wasimchague Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad, iwapo atawania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Kimedai Maalim Seif, hana  utashi na dhamira...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vuai apinga hoja za Maalim Seif

Wakati Serikali ya Umoja wa Kitaifa ikitimiza miaka mitatu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wananchi wa Zanzibar kamwe hawatashawishika kumchagua Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad kwa madai kuwa hana utashi na uwezo wa kuwaunganisha Wazanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatihati ya Maalim Seif kushinda urais Zanzibar

Tayari Maalim Seif  Sharifu  Hamadi,  ameshachukua fomu ili kuomba ridhaa ya chama chake kimkubalie tena kukiwakilisha kwa mara ya tano mfululizo kugombea kiti cha urais wa Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif ‘kidedea’, kuwania urais Zanzibar

Chama cha Wananchi CUF kimempitisha katibu mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa mara ya tano.

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Zanzibar,Bara zipokezane urais

>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kwa mfumo wa muungano uliopo, ni vyema kila upande ukawa unatoa rais kila baada ya miaka 10.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar

Maalim Seif Sharifu Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar anagombea urais wa Zanzibar

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif akabidhiwa fomu za urais Zanzibar, ailamu ZEC

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad jana alichukua fomu kuwania urais wa Zanzibar, ikiwa ni mara ya tano, safari hii akiwa chini ya mwamvuli wa Ukawa.

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ADHAMINIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR UCHAGUZI MKUU UJAO

Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi fedha taslim Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na uongozi wake.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha mkoba wenye Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23, 2015, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, (ZEC), kwenye Ukumbi wa Salama, Bwawani, Zanzibar.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akimkabidhi Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23,...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani