Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF ADHAMINIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR UCHAGUZI MKUU UJAO

Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi fedha taslim Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na uongozi wake.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ADAHAMINIWA TENA KUGOMBEA URAIS

 Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi fedha taslim Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.  Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na uongozi...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AREJESHA FOMU KUGOMBEA UKATIBU MKUU CUF

Na Hassan Hamad  wa OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, na kusisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha Wazanzibari.  Akikabidhi fomu hiyo kwa Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja Bw. Juma Rajab, Maalim Seif amesema suala la ubaguzi kamwe halitopewa nafasi ndani ya chama hicho.  Amefahamisha kuwa wazanzibar wote ni wamoja bila ya kujali asili ya mtu anapotokea ndani ya visiwa vya Zanzibar, na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar

Maalim Seif Sharifu Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar anagombea urais wa Zanzibar

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif hatoshi urais wa Zanzibar — Vuai

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka Wazanzibari wasimchague Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad, iwapo atawania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Kimedai Maalim Seif, hana  utashi na dhamira...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Zanzibar,Bara zipokezane urais

>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kwa mfumo wa muungano uliopo, ni vyema kila upande ukawa unatoa rais kila baada ya miaka 10.

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif ‘kidedea’, kuwania urais Zanzibar

Chama cha Wananchi CUF kimempitisha katibu mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa mara ya tano.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatihati ya Maalim Seif kushinda urais Zanzibar

Tayari Maalim Seif  Sharifu  Hamadi,  ameshachukua fomu ili kuomba ridhaa ya chama chake kimkubalie tena kukiwakilisha kwa mara ya tano mfululizo kugombea kiti cha urais wa Zanzibar.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani