Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANADINGA WA SIKU NYINGI PATRICK KLUIVERT ATEMBELEA PANDE ZA ZANZIBAR


Mchezaji Patrikc Kluivert akiwasili Zanzibar huku akiwa amezingwa na wanahabari wanataka kupata mawili matatu kutoka kwa mwanadinga huyo wa siku nyingi.


kwa picha zaidi bofya soma zaidi



Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kluivert atua Tanzania, aenda kujichimbia Zanzibar

Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Ajax, Barcelona, AC Milan na timu ya taifa ya Uholanzi, Patrick Kluivert amewasili nchini jana asubuhi kwa mapumziko ya muda mfupi na tayari ameenda kisiwani Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

JAFARY NKANDA ATEMBELEA PANDE ZA LAS VEGAS AND CASINOS

 Jafary Nkanda mazi wa DMV akiwa Las Vegas alipotembelea weekend hii na kukutana na marafiki zake wa siku nyingi. Jafary akipata ukodak kwenye muonekano wa jiji la Las Vegas. Kivazi cha Michael Jackson ndani ya jiji la Las Vegas. Jafary Nkanda akiwa na marafiki zake nje ya Casinos ndani ya jiji la Las Vegas alipotembelea kipande hizo wikiendi hii. Jafary Nkanda akiwa na marafiki zake kwenye mgahwa mmoja wapo Las Vegas. Jafary na marafiki zake katika picha ya pamoja Jiji la Las Vegas...

 

9 years ago

Habarileo

Changamoto nyingi usajili Zanzibar

KATIBU wa Kamati ya Usajili wa klabu za wilaya ya Mjini Unguja, Ali Othman Kibichwa amesema kuwa wanaendelea vizuri na upitiaji wa fomu za usajili, licha ya kukutana na changamoto mbali mbali wakati wa upitiaji huo.

 

10 years ago

GPL

‘Mtanzania aliondoka Chelsea siku nyingi tu’

Mtanzania aliyekuwa akiichezea timu ya vijana ya Chelsea ya England, Adam Nditi. Na John Joseph
HABARI ni kuwa Mtanzania aliyekuwa akiichezea timu ya vijana ya Chelsea ya England, Adam Nditi, alishaondoka Chelsea zaidi ya miezi minne iliyopita na siyo mwezi uliopita. Nditi ambaye alizichezea timu za vijana za klabu hiyo ya London, ikiwemo ile ya chini ya umri wa miaka 21, aliondoka Chelsea tangu mwezi wa sita mwaka huu na...

 

11 years ago

Habarileo

Lissu: Zitto alianza siku nyingi kuchafua Chadema

LICHA ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuweka zuio la muda kwa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mjumbe wa CC, Tundu Lissu amedhihirisha wazi kuwa chama kimemvua Zitto uanachama.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar Bw. Said Ndubugani, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hatua zinazochukuliwa na mamlaka hiyo katika kuimarisha viwanja vya ndege, alipofanya ziara ya kutembelea eneo hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo mbali mbali ya uwanja wa ndege wa Zanzibar katika ziara yake ya kutembelea eneo hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

10 years ago

Bongo Movies

JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!

Kwa mujibuwa mtandao wa  JF, Mwigizaji  wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..

Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyamapori nchini Tanzania ampongeza Rais Kenyatta

unnamed

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini Tanzania Kidon Mkuu, akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye harakati zake za matembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa na wanaharakati wenzake wa huko Philipine.

unnamed (1)

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini, Kidon Mkuu akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye matembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa na Susan Jaylo.

unnamed (2)

Mwanaharakati Kidon Mkuu akiwa kweye hoteli alikoshukia ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani