‘Mtanzania aliondoka Chelsea siku nyingi tu’
![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu0dUL6Rn2Mepe*CtrXzHbC5jG348VrOwThOkMNQoUJ3ehU2x6m6Ny59-cMeCU2J6EhUvla6weov*CTros2duUOC/mtz.jpg)
Mtanzania aliyekuwa akiichezea timu ya vijana ya Chelsea ya England, Adam Nditi. Na John Joseph HABARI ni kuwa Mtanzania aliyekuwa akiichezea timu ya vijana ya Chelsea ya England, Adam Nditi, alishaondoka Chelsea zaidi ya miezi minne iliyopita na siyo mwezi uliopita. Nditi ambaye alizichezea timu za vijana za klabu hiyo ya London, ikiwemo ile ya chini ya umri wa miaka 21, aliondoka Chelsea tangu mwezi wa sita mwaka huu na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Jan
Lissu: Zitto alianza siku nyingi kuchafua Chadema
LICHA ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuweka zuio la muda kwa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mjumbe wa CC, Tundu Lissu amedhihirisha wazi kuwa chama kimemvua Zitto uanachama.
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!
Kwa mujibuwa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..
Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio...
10 years ago
VijimamboMWANADINGA WA SIKU NYINGI PATRICK KLUIVERT ATEMBELEA PANDE ZA ZANZIBAR
Mchezaji Patrikc Kluivert akiwasili Zanzibar huku akiwa amezingwa na wanahabari wanataka kupata mawili matatu kutoka kwa mwanadinga huyo wa siku nyingi.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Mtanzania anahitaji sh 869 kwa siku
IMEBAINIKA kuwa kila Mtanzania anahitaji sh 869.5 kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya chakula kila siku ikilinganishwa na sh 414.8 mwaka 2007. Hayo yalisemwa na Waziri wa Fedha na Uchumi,...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyamapori nchini Tanzania ampongeza Rais Kenyatta
Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini Tanzania Kidon Mkuu, akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye harakati zake za matembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa na wanaharakati wenzake wa huko Philipine.
Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini, Kidon Mkuu akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye matembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa na Susan Jaylo.
Mwanaharakati Kidon Mkuu akiwa kweye hoteli alikoshukia ya...
9 years ago
MichuziASYA IDAROUS KHAMSINI ANOGESHA SIKU YA MTANZANIA SEATTLE
10 years ago
VijimamboMTANZANIA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA
10 years ago
Bongo529 Dec
Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Kimlola:Kanumba Aliondoka na Nyota Yangu, Maombi Yameniokoa!
Mwigizaji wa filamu,Emmanuel Kimlola ‘Kimlola Kimlola’ ametamba kwa kusema kuwa maombi ya kazi zake katika uigizaji yamejibu kwani toka aokoke kila kitu akifanya kazi inajibu tofauti na siku zilizopita ilikuwa ngumu hata kupata kazi ya filamu na kushiriki hata sehemu ndogo, pengine watu walimsahau baada ya kifo cha Kanumba.
“Nilipatwa na hofu nikitaka kuamini kuwa labda swahiba yangu Marehemu Kanumba kaondoka na nyota yangu na hilo lilitokana na ukaribu na marehemu kwani ilikuwa kila akitoa...