JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!
Kwa mujibuwa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..
Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BALOTELLI AMVALISHA PETE MPENZI WAKE
10 years ago
GPL
PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER
10 years ago
Mtanzania18 Aug
Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba
Nairobi, Kenya
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.
Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.
“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.
“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...
10 years ago
GPL
PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!
Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.
HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.
Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.
Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.
Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;
“Kila mwaka katika msimu huu wa...
10 years ago
GPL
SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA
11 years ago
GPL
LUCY KOMBA ANASWA NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Sandra Amshauri Shilole Asidanganyike na Pete ya Uchumba
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada...
11 years ago
GPL
MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA