BALOTELLI AMVALISHA PETE MPENZI WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg-*zb5jR*8KLFlRVHBVDoHliIfwI*F-2qQ-39NTWFWUi2NA*Ari0pYJ1p7hGr3xg1X-u1nyFGEhr3YZBYEKFX5a/balo.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake, Fanny Neguesha aliyemvisha pete. Mpenzi wa Mario Balotelli, Fanny Neguesha. MSHAMBULIAJI wa Italia na AC Milan , Mario Balotelli ametangaza kumchumbia mpenzi wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus. Mchezaji huyo… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akRs5-pkQHqKdb*MAkjKx2F7Iw6qtBvdluK*Cs8o4kJf6XySWXSTI90z2DnS8pRWeeu7AGc-uioc3JhRBLpQKA8K/BALOTELLI5.jpg?width=650)
MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!
Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.
HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.
Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.
Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.
Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;
“Kila mwaka katika msimu huu wa...
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!
Kwa mujibuwa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..
Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Pete ya ndoa na umuhimu wake
KARIBU katika Safu ya Urafiki na Mahusiano. Ni matumaini yangu umzima wa afya na nawashukuru kwa maoni yenu. Jumamosi ya leo, tutazungumzia suala zima la kuvaa pete, lakini si kwa...
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5jUGfjGXSLA/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pJE3SW*8zV3ubrwyaTIwbeOR4svrIERsHgP9t7O8R0JS0qF79S*Jr8AjllnPojxjDMTjw9dZ*aDbNMPJz0jDlUp/DIAMON.jpg?width=650)
DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI2ppod9UVZlmhVhZIr4Em9QqoKdAA2Gh7rDiEQamaLqpxmCTzwWufsxFSMsrJ2CrKvPEQPqU0WwioxydsC8YGtm/PETE.jpg?width=650)
MMOJA WA VIJANA WALIONASWA KWA UJAMBAZI DAR ALIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE HIVI KARIBUNI
9 years ago
Bongo507 Oct
Rick Ross aeleza jinsi alivyomvisha pete ‘kibabe’ mchumba wake bila kupiga goti