DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE
![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pJE3SW*8zV3ubrwyaTIwbeOR4svrIERsHgP9t7O8R0JS0qF79S*Jr8AjllnPojxjDMTjw9dZ*aDbNMPJz0jDlUp/DIAMON.jpg?width=650)
Mkali wao katika Bongo Fleva, 'Diamond Platinumz' akiwa na Bi. mkubwa wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Diamond alipokuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku.Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda.Endelea sasa… ACHEZA KAMARI Wakati mwingine...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...
9 years ago
Bongo528 Sep
Tunda Man kuelezea kwa wimbo jinsi alivyomtesa mama yake wakati wa ujauzito wake
10 years ago
Bongo520 Nov
Dully Sykes asema wimbo wake wa matusi aliurekodi 2008 akiwa na ‘foolish age’, aomba usichezwe redioni
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPtP8jFzi7JSeMkkbbqhKP08P4iekyg6tblrwThI*VK1DqEn6470LXUgrPKk8NGExiP4eIJZuocvyHSw6TNG9dOB/DIAMOND26.jpg?width=650)
DIAMOND AONYESHA KUFURU YA FEDHA BETHIDEI YA MAMA YAKE
9 years ago
Bongo526 Oct
Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza
10 years ago
Bongo505 Mar
Mr Blue autaja na kuuelezea wimbo aliurekodi na Sugu
10 years ago
Bongo531 Jan
Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond