Dully Sykes asema wimbo wake wa matusi aliurekodi 2008 akiwa na ‘foolish age’, aomba usichezwe redioni
Msanii mkongwe wa Bongo fleva Dully Sykes amesema wimbo wake aliomshirikisha Maunda Zoro uliovuja hivi karibuni, ulirekodiwa miaka sita iliyopita kipindi ambacho alikuwa bado kwenye ‘foolish age’. “Hiyo ni ngoma ambayo imevuja ni ya siku nyingi sana, kwasababu kwanza hata nilikuwa sijui ilipo wapi kwasababu ni nyimbo ya kuanzia Dhahabu Records, kabla hata sijafungfua studio […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycOYPZK9IULgw359tcQoXzDseX9x2ZjOb6EDuBDwlGC2AqjAr4SX9ZUR*dk-Wu-DtcMXLhF1JY-vxd-STVoXVpOK/10601811_510475949098767_362612024_n.jpg?width=650)
DULLY SYKES ATOLEA UFAFANUZI WIMBO WAKE WA ‘MATUSI’
Msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’. Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi yasiyoweza kuandikika gazetini kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao , msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amefunguka kuwa halikuwa kusudio lake kuachia wimbo huo bali ulivuja kwa bahati mbaya mitandaoni. Akipiga stori na Showbiz...
11 years ago
Bongo528 Jul
Dully Sykes aelezea maana ya wimbo wake ‘Togola’
Dully Sykes ana wimbo mpya uitwayo Togola uliotengenezwa katika studio zake za 4.12. Akiongea na EFM hivi karibuni, Dully alidai kuwa Togola ni salam ya kabila la kizigua. “Togola maana yake kama salamu tu, kizigua hicho,” alisema Dully. Unajua mwanaume unapokuwa mwenyewe huna partner ndani ya gari inabidi uanze kutizamatizama nikasema ‘mtizame’ lakini kutizamatizama unaweza […]
10 years ago
Michuzi29 Sep
10 years ago
Michuzi15 Oct
9 years ago
Bongo523 Oct
Yamoto Band waandika wimbo mpya wa Dully Sykes
Yamoto Band wameandika wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao Tuachie. Dully Sykes amedai kuwa ameona ni muhimu kupata ladha tofauti na haoni kama kuna tatizo kuandikiwa na wasanii hao. “Nimewaachia vijana waandike ili nipate kitu tofauti,” Dully alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Ni vijana ambao wanafanya vizuri kimuziki, kama watoto wanafanya […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pJE3SW*8zV3ubrwyaTIwbeOR4svrIERsHgP9t7O8R0JS0qF79S*Jr8AjllnPojxjDMTjw9dZ*aDbNMPJz0jDlUp/DIAMON.jpg?width=650)
DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE
Mkali wao katika Bongo Fleva, 'Diamond Platinumz' akiwa na Bi. mkubwa wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Diamond alipokuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku.Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda.Endelea sasa… ACHEZA KAMARI
Wakati mwingine...
10 years ago
Bongo504 Oct
Dully Sykes na Spice Digital vitani, asema wamemdhulumu, wao wasema wanamdai
Msanii mkongwe nchini, Dully Sykes amefunguka kwa uchungu na kusema kuwa yupo kwenye muziki miaka 15 lakini bado hajanufaika na kitu chochote kupitia muziki. Hivi karibuni msanii huyo ameingia kwenye vita vya maneno na kampuni ya Spice Digital ambayo anadai imemdhulumu pesa zake za mauzo ya RBT ya mwaka mzima. Dully ameitaka kampuni hiyo kumlipa […]
10 years ago
Vijimambo18 Feb
DULLY SYKES AELEZEA MCHANGO WA BABA YAKE KATIKA MUZIKI WAKE
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/dullynababaake.jpg)
Kutokana na Msiba huo Tokea Juzi simu ya Dully Imekuwa haipatikani Ila leo @DjHaazu wa @MamboJamboRadio amempata na Kupiga naye Story mbili tatu kuhusiana na Marehemu Mzee Sykes kwa kifupi.Katika Mazungumzo yake Dully ameeleza kuwa Mzee Wake alikuwa anaugua Muda mrefu na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania