DIAMOND AONYESHA KUFURU YA FEDHA BETHIDEI YA MAMA YAKE
![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPtP8jFzi7JSeMkkbbqhKP08P4iekyg6tblrwThI*VK1DqEn6470LXUgrPKk8NGExiP4eIJZuocvyHSw6TNG9dOB/DIAMOND26.jpg?width=650)
Mama Diamond Bi Sanura akimlisha keki 'mkwewe' Wema Sepetu katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika jana. Keki iliyotolewa oda na Diamond iliyoandikwa ujumbe wake maalum.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pJE3SW*8zV3ubrwyaTIwbeOR4svrIERsHgP9t7O8R0JS0qF79S*Jr8AjllnPojxjDMTjw9dZ*aDbNMPJz0jDlUp/DIAMON.jpg?width=650)
DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE
Mkali wao katika Bongo Fleva, 'Diamond Platinumz' akiwa na Bi. mkubwa wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Diamond alipokuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku.Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda.Endelea sasa… ACHEZA KAMARI
Wakati mwingine...
9 years ago
GPLBETHIDEI YA WEMA KUFURU!
Mkurugenzi wa Endless Fame Wema Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa imesheheni keki alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall, uliyopo ndani ya jengo jipya la Millenium Tower. Meneja wa Wema (kushoto), Martin Kadinda, akimsaidia kukata moja ya keki zilizokuwa zimeandaliwa muda mfupi kabla ya kuanza kuwalisha ndungu jamaa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXVpdDNYzUy1P-s7fL0xJkh5B3Ajn1-NBqSupvpms04ER0t329VYXAHUhtjaGZb9*DnA8iaDXBNCSu9Bqif5F51S/yete.jpg?width=650)
BETHIDEI YA JACK DUSTAN KUFURU!
Imelda mtema Mrembo aliyepata jina kupitia Shindano la Maisha Plus, Season Two, Jacqueline Dustan amefanya kufuru kwenye pati yake ya kuzaliwa (bethidei) iliyofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar, wikiendi iliyopita. Jacqueline Dustan akiwa katika pozi. Sherehe hiyo iliyokuwa na vyakula na vinywaji vya kufa mtu, ilihudhuriwa na ‘mashosti’ mbalimbali wa Jack huku ikiendeshwa na mtangazaji maarufu Bongo,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kYkWoLTW4g9iUtyWamf6XAnNJrLm7fz5oCJD38tIGpKHCmyxmguYmawYh5v17s6Jrc4ClqBFHkYXoJY4xbSMAyqwDazD7*Bi/DIAMOND4.jpg?width=650)
DIAMOND AMWANDALIA ZAWADI MAMA YAKE
Diamond akiwa na mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra'. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia video zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra' aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond aliandika hivi:
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Bajeti ya Wizara ya Fedha ni kufuru
Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka ujao wa fedha imetuthibitishia kitu kimoja kikubwa. Kwamba wizara hiyo inajiona iko juu ya wizara nyingine, hivyo kuziona shughuli zake kama kipaumbele pekee cha Taifa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPsDIU8Y-KN*Ib8Si8M1xmpAxTUtUoxUvhYBpteKZ9no1sCyxFDwrJgNpub9tKdjaL4GkT5VnWiqXfqBEynvrqrV/gari.jpg?width=650)
DIAMOND AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38
Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye. Muonekano wa gari hilo kwa nyuma. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'. Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao. Gari… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidV3D6oZztIW8HCRpY6u*AQ*WAkGJPekYd-tfb9bv3xwyeWOweF7SSkQCjlnV0T0rKRmNWKxYb0AKon8cGbL0ltx/massawe.jpg?width=650)
ALEX MASSAWE AFANYA KUFURU YA FEDHA SAUZI
Video inayomuonesha mtu anayedaiwa kuwa Alex Massawe akiwa na kijana mmoja wakionyesha jeuri ya fedha nchini Afrika Kusini. Stori: Makongoro Oging’ WAKATI akisakwa kwa udi na uvumba na serikali ya Tanzania ili kuunganishwa katika kesi ya mauaji jijini Dar es Salaam, mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe anadaiwa kufanya jeuri ye fedha nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’.…
WATCH VIDEO
...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania