BETHIDEI YA JACK DUSTAN KUFURU!
Imelda mtema Mrembo aliyepata jina kupitia Shindano la Maisha Plus, Season Two, Jacqueline Dustan amefanya kufuru kwenye pati yake ya kuzaliwa (bethidei) iliyofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar, wikiendi iliyopita. Jacqueline Dustan akiwa katika pozi. Sherehe hiyo iliyokuwa na vyakula na vinywaji vya kufa mtu, ilihudhuriwa na ‘mashosti’ mbalimbali wa Jack huku ikiendeshwa na mtangazaji maarufu Bongo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMCHUMBA AMSAKA JACK DUSTAN
10 years ago
GPLJACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!
9 years ago
GPLBETHIDEI YA WEMA KUFURU!
10 years ago
GPLAIBU! PICHA ZA JACK DUSTAN AKIOGA BAFUNI ZAVUJA
10 years ago
GPLJACK DUSTAN AFUNGIA SKENDO YA KWENDA KUJIUZA THAILAND
9 years ago
GPLJACK DUSTAN: WANAOJICHORA ‘TATUU’ ZA WAPENZI WANAJICHAFUA
11 years ago
GPLDIAMOND AONYESHA KUFURU YA FEDHA BETHIDEI YA MAMA YAKE
10 years ago
Bongo Movies31 Jan
Nyepesi Nyepesi: Jack Dustan Adaiwa Ana Mimba ya Mwarabu!
Mwigizaji wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.
Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.
Akizungumzia madai hayo, Jack alisema: “Mimi ni mwanamke bwana, kuzaa ni wajibu kwa hiyo sioni kama ni skendo mimi kuwa na mimba.”
Alipoulizwa kama ni...
11 years ago
GPLJACK DUSTAN ANG’ANG’ANIA KUZAA NA MZUNGU