JACK DUSTAN AFUNGIA SKENDO YA KWENDA KUJIUZA THAILAND
![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOi7tLIHl8rehIPsBFGofV4iVO545A9S6MxFeHf64lYDn90aSgGtqtVp3Rrbwb484w9TbvTQwSdS99UAVqZnnzMO/JACKDUSTAN.jpg)
Imelda Mtema. Mambo vipi mpenzi msomaji wangu? Tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini uko poa.Leo tunaye mwanadada anayekwenda kwa jina la Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’. Naye yuko hapa kujibu maswali 10 aliyobanwa na mwandishi wetu Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’. IMELDA MTEMA. Ijumaa: Tulisikia unataka kuolewa, ukavishwa hadi pete ya uchumba, hili suala limeishia wapi? ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZYFClBjht8LW4ovNYYE6Jvz-aH7Wxx1DLwBMs0NC5inxmL5RY*ab35P578dHAWTZgVJJpmvn9i1XwiAJycf4awm/kajala.jpg?width=650)
KAJALA APANGUA SKENDO YA KUJIUZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIshrjJvL5keUnXRcCk1IXgKCjuQjAx7V3UmVK-2wbYSyn68CrrgIkWwMgS0osKketPgzWZnVi-9Rqir-1ZHIFIG/BabyMadahaa.jpg?width=650)
MADAHA AFUNGUKA SKENDO YA KUJIUZA, KUTOKUWA NA PA’ KUISHI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXVpdDNYzUy1P-s7fL0xJkh5B3Ajn1-NBqSupvpms04ER0t329VYXAHUhtjaGZb9*DnA8iaDXBNCSu9Bqif5F51S/yete.jpg?width=650)
BETHIDEI YA JACK DUSTAN KUFURU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyInO7ajtyoP1*7Gj9lhcA2MIQXqy5Iaj05GQt6xDDBb*n8zap6D1WgQFkGkOiF9ALUejOkzj0uh-DXS3Uj6s44nb/Hamisi.jpg)
MCHUMBA AMSAKA JACK DUSTAN
10 years ago
GPLJACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb8zMsCrs6Tu2olOJOHkxfvPaseJOXTIFQvOGYXZj-NfsEA0lcvWj12ia-ZitueqCnZkfitnTYPCs7ro5yLrydgj/jack.jpg)
AIBU! PICHA ZA JACK DUSTAN AKIOGA BAFUNI ZAVUJA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrI-pwXRwTF*rXj*jLrDlRJ7X-Eg1Tf4OtszGFQxl3c*3MD4b-PFGXTzT4Z85P0xkNjmCjaRUM070m4C6GE2c2eM/4.jpg)
JACK DUSTAN: WANAOJICHORA ‘TATUU’ ZA WAPENZI WANAJICHAFUA
10 years ago
Bongo Movies31 Jan
Nyepesi Nyepesi: Jack Dustan Adaiwa Ana Mimba ya Mwarabu!
Mwigizaji wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.
Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.
Akizungumzia madai hayo, Jack alisema: “Mimi ni mwanamke bwana, kuzaa ni wajibu kwa hiyo sioni kama ni skendo mimi kuwa na mimba.”
Alipoulizwa kama ni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVdk1cUsf5956ElOHcnSD4bAl*aQmqdTrormmsjMsnNTsCTSePWke3aB-flw7rmZpN72gwGJv*15oIxZxHpcLhOL/JACK.jpg?width=650)
JACK DUSTAN ANG’ANG’ANIA KUZAA NA MZUNGU