Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!

Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan. Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye. Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Nyepesi Nyepesi: Jack Dustan Adaiwa Ana Mimba ya Mwarabu!

Mwigizaji wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.

Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.
Akizungumzia madai hayo, Jack alisema: “Mimi ni mwanamke bwana, kuzaa ni wajibu kwa hiyo sioni kama ni skendo mimi kuwa na mimba.”

Alipoulizwa kama ni...

 

10 years ago

GPL

MCHUMBA AMSAKA JACK DUSTAN

Na Imelda Mtema
MCHUMBA wa aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Maisha Plus (Season 2), Jack Dustan, Hamisi Ally ameibuka na kusema anamsaka mchumba wake huyo aliyepotea kwa takriban mwaka mzima tangu amvalishe pete ya uchumba. Aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Maisha Plus (Season 2), Jack Dustan. Akizungumza na mwandishi wetu, Hamisi alisema kuwa alitarajia kuwa mpaka sasa wangekuwa wameshafunga ndoa lakini ghafla akasikia...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA JACK DUSTAN KUFURU!

Imelda mtema Mrembo aliyepata jina kupitia Shindano la Maisha Plus, Season Two, Jacqueline Dustan amefanya kufuru kwenye pati yake ya kuzaliwa (bethidei) iliyofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar, wikiendi iliyopita. Jacqueline Dustan akiwa katika pozi. Sherehe hiyo iliyokuwa na vyakula na vinywaji vya kufa mtu, ilihudhuriwa na ‘mashosti’ mbalimbali wa Jack huku ikiendeshwa na mtangazaji maarufu Bongo,...

 

10 years ago

GPL

JACK DUSTAN AFUNGIA SKENDO YA KWENDA KUJIUZA THAILAND

Imelda Mtema. Mambo vipi mpenzi msomaji wangu? Tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini uko poa.Leo tunaye mwanadada anayekwenda kwa jina la Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’.
Naye yuko hapa kujibu maswali 10 aliyobanwa na mwandishi wetu Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’. IMELDA MTEMA.
Ijumaa: Tulisikia unataka kuolewa, ukavishwa hadi pete ya uchumba, hili suala limeishia wapi?
...

 

10 years ago

GPL

AIBU! PICHA ZA JACK DUSTAN AKIOGA BAFUNI ZAVUJA

Stori: Imelda Mtema
Msanii wa filamu ambaye sasa amejichimbia Dubai akisaka maisha, Jacqueline Dustan amevujisha picha zinazomuonesha akioga bafuni huku akionekana yuko bwii,  jambo ambalo ni kinyume na maadili. Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Dustan akioga huku akinywa. Picha hizo zinamuonesha msanii huyo akiwa kwenye sinki lenye mapovu na nyingine zikimuonesha hadi sehemu zake muhimu.… ...

 

9 years ago

GPL

JACK DUSTAN: WANAOJICHORA ‘TATUU’ ZA WAPENZI WANAJICHAFUA

Stori: Imelda Mtema SOMO! Mrembo aliyejipatia umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan ‘Jack’ ameweka wazi kuwa baadhi ya mastaa wanaojichora ‘tatuu’ za majina ya wapenzi wao ni kujichafua kwa sababu wanapoachana wanapata tabu kuzifuta. Mrembo aliyejipatia umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan ‘Jack’. Akizungumza na gazeti hili, Jack alisema kwamba, katika maisha yake hawezi...

 

11 years ago

GPL

JACK DUSTAN ANG’ANG’ANIA KUZAA NA MZUNGU

Stori: IMELDA MTEMA
Mwanadada Jacqueline Dustan ambaye ni msanii wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus season II, ameonekana kung’ang’ania kuzaa na Mzungu kufuatia maelezo yake kwamba harudi Bongo mpaka atundikwe mimba na mtasha. Jacqueline Dustan. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu akiwa nchini Thailand, Jack alisema uwepo wake nchini humo kwa muda mrefu anajilengesha kwa mwanaume wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Panda adanganya ana mimba

Panda mmoja jike aliamua kuwachezea shere wanaomhudumia kwa kuonesha dalili kua ana mimba apewe aina ya mikate ya buns zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani