Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Panda adanganya ana mimba

Panda mmoja jike aliamua kuwachezea shere wanaomhudumia kwa kuonesha dalili kua ana mimba apewe aina ya mikate ya buns zaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Bibi,umri wa 65,ana mimba ya pacha wanne

Mwanamke mwenye umri wa miaka 65 mama ya watoto 13 sasa anamimba ya pacha wanne

 

10 years ago

GPL

JACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!

Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan. Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye. Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jacqueline Wolper Ana Mimba ya Miezi Mitatu?

Jacqueline Wolper ni mama kijacho? – Kwa maneno yake mwenyewe aliyoandika Instagram wakati akiwapongeza Diamond na Zari kwa kupata mtoto wao wa kwanza, Latiffah.

“Congratulations dad and mom MTV, God is always great, Congrats Wasafi President for the little princes. Mine is on the way 5 months to go!!,” ameandika Wolper.

“Sema mtoto wa kwanza bwana unaweza kujikuta unataka kum’beba wewe tuu na kazini usiendee, utunyime mashabk haki yetu ukaacha kututungia viburudisho ukawa unalea. Hongera...

 

9 years ago

Michuzi

MKE WANGU ANA MIMBA YA MWANAUME MWINGINE, JE SHERIA INASEMAJE ?

Na  Bashir  Yakub.

Wakati  nilipoandika kuhusu  talaka  na  mambo  yanayokubalika  kisheria  kama  sababu  za  talaka  nilipata   maoni  na  maswali  mengi kutoka kwa  wasomaji wetu.  Kati  ya  hao  ni mmoja  ambaye  alijitambulisha  kwa  jina   na  kuwa  ni  mkazi  wa  kinondoni  Dar es  salaam. Huyu  aliuliza  swali  lake  ambalo  ndilo  kichwa  cha  makala  haya.  Alisema  ameziona  sababu  nilizoeleza  ambazo  zinapelekea   mtu  kupewa  talaka  lakini  sababu  inayohusu  tatizo  lake ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Ni Kweli Lulu Ana Mimba?! Jionee Mwenywe Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka tena picha yake mtandaoni (hiyo hapo juu)akionekana   mjamzito, hii ni mara ya pili baada ya hivi juzi kati kuweka picha  ya mwanamke mjamzito bila kuonyesha sura yake, kitendo ambacho kilionekana kuwa  sio yeye na niuongo kwani siku hiyo ilikuwa ni siki ya wajinga dunia.

Hata hivyo bado watu wengi hawajaamini kuwa mrembo huyo kwasasa ni mjamzito na hata lulu mwenyewe hajaweka wazi kuwa kwasasa ni mama kijacho japo wanasema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wakati Nyalandu Anakanusha Kuhusika na Mimba ya Aunty Ezekiel, Iyobo Nae Ana Haya..…

Baada ya hapo jana Waziri Lazaro Nyalandu kupitia Clouds FM kukanusha tuhuma  zilizokuwa zimezagaa kwenye magazeti  na mitandaoni za kuwa anachepuka na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Aunty Ezekiel na kusisitiza kuwa yeye sio  muhusika wa ujauzito wa mwigizaji huyo, nikaamua kupitapita  kwenye kurasa za  mcheza shoo wa Diamond, Moses Iyobo ambae ndio anasemekana kuwa  yeye ndio amempa ujauziko mwigizaji  huyo.

Kwanza nilikutana na andiko la malalamiko kutoka kwa Iyobo, ambae alikuwa ameweka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nyepesi Nyepesi: Jack Dustan Adaiwa Ana Mimba ya Mwarabu!

Mwigizaji wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.

Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.
Akizungumzia madai hayo, Jack alisema: “Mimi ni mwanamke bwana, kuzaa ni wajibu kwa hiyo sioni kama ni skendo mimi kuwa na mimba.”

Alipoulizwa kama ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani