MKE WANGU ANA MIMBA YA MWANAUME MWINGINE, JE SHERIA INASEMAJE ?

Na Bashir Yakub.
Wakati nilipoandika kuhusu talaka na mambo yanayokubalika kisheria kama sababu za talaka nilipata maoni na maswali mengi kutoka kwa wasomaji wetu. Kati ya hao ni mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina na kuwa ni mkazi wa kinondoni Dar es salaam. Huyu aliuliza swali lake ambalo ndilo kichwa cha makala haya. Alisema ameziona sababu nilizoeleza ambazo zinapelekea mtu kupewa talaka lakini sababu inayohusu tatizo lake ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
9 years ago
Michuzi
SHERIA INASEMAJE UNAPOUA WAKATI UKIJARIBU KUJILINDA/KUJIOKOA (SELF DEFENCE)

9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego

Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Nani ana wajibu wa kujishusha, mwanamke au mwanaume?-2
WIKI iliyopita tuliianza mada hii nzuri yenye elimu kuhusu mpango wa Mungu katika ndoa.
Tuliishia pale Mungu alipokuwa akitoa adhabu kwa nyoka. Adhabu hiyo pia aliitoa kwa mwanaume (Adam) na kwa mwanamke (Eva).
ENDELEA SASA…
Mwanamke aliambiwa atazaa kwa uchungu, huo ndiyo uhalisia. Hadi leo mwanamke anaendelea kuzaa kwa uchungu. Jukumu hilo ni la kwake, si la mwanaume. Mwanaume anatekeleza lile la kwake la kutafuta na kula kwa jasho.
Hii ina maana kubwa sana katika maisha yetu. Kweli...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI

Na Bashir YAkub
Sura ya 29 Sheria ya ndoa imeeleza mambo mengi . Baadhi yanajulikana na baadhi hayajulikani. Wakati mwingine hata baadhi ya yanayojulikana haijulikani kama yameruhusiwa na sheria au yanafanyika kimazoea. Na hapa ndipo inapoibukia migogoro mingi ambayo tunayoshuhudia mahakamani na hata nje ya mahakama. Aidha sheria hii imebeba mambo mengi ya talaka, matunzo ya watoto na mwanamke, jinai za unyanyasaji wa kijinsia, ndoa haramu ...
11 years ago
BBCSwahili15 Oct
Muuguzi mwingine ana Ebola Marekani
10 years ago
GPL
MWANAUME WA UGANDA AFUNGUKA: ZARI AMETOA MIMBA ZANGU 2
11 years ago
BBCSwahili28 Aug
Panda adanganya ana mimba