Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHERIA INASEMAJE UNAPOUA WAKATI UKIJARIBU KUJILINDA/KUJIOKOA (SELF DEFENCE)

Wakati  mwingine  kujilinda  waweza  kukuita  kujitetea,kujiokoa au kujikinga.  Ni  hali  ambapo  mtu  hufanya  jitihada  za  kujinasua  katika  tendo  ovu  ambalo  linatekekezwa na  mtu  mwingine  dhidi  yake.  Mfano  wake  ni  kama  kuvamiwa  na  majambazi, kutekwa, kufanyiwa  fujo  ya  aina  yoyote, kupigwa au  kujaribu  kupigwa n.k. Matukio ya  namna  hii  au  yanayofanana  na  haya ni  sehemu  yetu  ya  maisha.  Yumkini  yanapotutokea  huw  tunachukua  hatua.  Na moja  ya  hatua    ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKE WANGU ANA MIMBA YA MWANAUME MWINGINE, JE SHERIA INASEMAJE ?

Na  Bashir  Yakub.

Wakati  nilipoandika kuhusu  talaka  na  mambo  yanayokubalika  kisheria  kama  sababu  za  talaka  nilipata   maoni  na  maswali  mengi kutoka kwa  wasomaji wetu.  Kati  ya  hao  ni mmoja  ambaye  alijitambulisha  kwa  jina   na  kuwa  ni  mkazi  wa  kinondoni  Dar es  salaam. Huyu  aliuliza  swali  lake  ambalo  ndilo  kichwa  cha  makala  haya.  Alisema  ameziona  sababu  nilizoeleza  ambazo  zinapelekea   mtu  kupewa  talaka  lakini  sababu  inayohusu  tatizo  lake ...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ kurekebisha sheria zilizopitwa na wakati

Waziri wa Uwezeshaji, Wanawake, Vijana na Watoto wa Zanzibar, Zainab Omar MohamedSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mchakato wa kuzipitia sheria zote zinazoonekana kupitwa na wakati ambazo zimekuwa zikiwadhalilisha wanawake na watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Tutunge sheria za mawasiliano zinazokwenda na wakati

Ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita, kumetokea mabadiliko makubwa ya kimaendeleo katika nyanja ya mawasiliano.

 

9 years ago

GPL

BIBLIA INASEMAJE KUHUSU ALIENS?

WIKI iliyopita niliishia pale wanasayansi wa Marekani walipoanza kutafuta viumbe wenye uhai (au uwezekano wa uhai) kwenye mwezi na sayari kama Mars lakini hawakufanikiwa. Wakawa wanadhani kwamba kunaweza kukawa na uwezo wa uhai/kuishi kwenye mwezi au sayari nyinginezo. Wanasayansi wenyewe kwa wenyewe wamekuwa wakitofautiana juu ya ni sayari gani hasa inaweza kuwa makazi ya Aliens? SASA ENDELEA… Inaelezwa kwamba, wanasayansi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo 10 ya kujiokoa na shambulio la ugaidi

>Wakati mashambulizi ya kigaidi yakiendelea kutikisa maeneo mbalimbali duniani ikiwamo nchi jirani ya Kenya huku kukiwa na angalizo kuwa huenda na Tanzania ikashambuliwa, jarida moja la kimataifa limetaja mambo 10 ya kufanya baada ya shambulio.

 

11 years ago

Mwananchi

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kusaidia Israel kujilinda

Marekani imepitisha mswada unaotoa msaada wa kifedha kwa Israel kuimarisha mfumo wake wa kujilinda

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima: Niliagiza bastola hospitali kujilinda

>Utata umeibuka kuhusu bastola waliyodaiwa kukamatwa nayo wafuasi wa Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima baada ya kiongozi huyo kusema anaimiliki kihalali kinyume na maelezo ya polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani