Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mr Blue autaja na kuuelezea wimbo aliurekodi na Sugu

Mr Blue amemshirikisha mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu kwenye wimbo wake mpya, Freedom. Mr Blue ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo unawaamsha watu mbalimbali wameliokosa uhuru wao. “Huu wimbo umetokea tu, idea imekuja tu,” amesema. “Marco Chali alikuwa na hii beat tangu mwaka 2013 na hiyo idea ya freedom ilikuwepo tu. Chorus ilikuwa imeshapigwa, sasa labda […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Barack Obama autaja wimbo wa Hip Hop uliomdatisha zaidi mwaka 2015

obama kendrick

Watu wengi huwa wanahamu ya kufahamu viongozi wao wa nchi wanapendelea kusikiliza muziki wa aina gani na wanawapenda wasanii gani kwenye upande wao wa maisha ya kawaida.

obama kendrick

Mfano kwa Rais wetu Magufuli unahisi anaweza kuwa anapenda kumskiliza msanii gani wa Bongo? Ni kitu ambacho wengi wangependa kufahamu.

Upande wa Rais wa Marekani, Barack Obama ameweka wazi wimbo alioupenda zaidi kwa mwaka 2015 kupitia mahojiano na People Magazine, kuwa ni ‘How Much A Dollar Cost’ ya rapa Kendrick...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE

Mkali wao katika Bongo Fleva, 'Diamond Platinumz' akiwa na Bi. mkubwa wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Diamond alipokuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku.Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda.Endelea sasa… ACHEZA KAMARI
Wakati mwingine...

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes asema wimbo wake wa matusi aliurekodi 2008 akiwa na ‘foolish age’, aomba usichezwe redioni

Msanii mkongwe wa Bongo fleva Dully Sykes amesema wimbo wake aliomshirikisha Maunda Zoro uliovuja hivi karibuni, ulirekodiwa miaka sita iliyopita kipindi ambacho alikuwa bado kwenye ‘foolish age’. “Hiyo ni ngoma ambayo imevuja ni ya siku nyingi sana, kwasababu kwanza hata nilikuwa sijui ilipo wapi kwasababu ni nyimbo ya kuanzia Dhahabu Records, kabla hata sijafungfua studio […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mr Blue Ft. Mr Two (Sugu) — Freedom

Wimbo mpya wa Mr. Blue (Bayser) amemshirikisha Mr. Two (Sugu) unaitwa “Freedom” Studio Mj Records Producer Marco Chali. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

Diamond akimtaja Zari kwenye wimbo wa Mr Blue 'Pesa'

Sikiliza Diamond akimsifia mpenzi wake Zari jittiririshe hapa chini kwenye soma zaidi

 

11 years ago

Michuzi

Video: Mr. Blue, Dyna, Barnaba Boy na Amini warekodi wimbo wa kampeni ya dereva makini 2014

Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zimekuwa ni mwiba mchungu kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla unaoacha kilio, walemavu, yatima, wajane na wagane kila kukicha. 
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Barnaba Boy na Dyna Nyange wameshiriki kurekodi wimbo wao utakaotumika kwenye kampeni ya dereva makini inayolenga kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. 
Wimbo huo umerekodiwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel azungumzia madai ya wimbo wa Game kufanana na wimbo wa Patoranking ‘Girlie O’

Mtayarishaji wa muziki na msanii, Nahreel amezungumzia madai ya kufanana kwa wimbo wa kundi lake Navy Kenzo, ‘Game’ pamoja wimbo wa ‘Girlie O’ wa msanii wa Nigeria, Patoranking. Nahreel ameiambia 255 kwenye kipindi cha XXL kupitia Clouds FM kuwa kabla wimbo huo haujatoka Patoranking aliusikia na kuusifia. “Kiukweli cha kwanza kabla Game haijatoka Patoranking yeye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani