Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barack Obama autaja wimbo wa Hip Hop uliomdatisha zaidi mwaka 2015

obama kendrick

Watu wengi huwa wanahamu ya kufahamu viongozi wao wa nchi wanapendelea kusikiliza muziki wa aina gani na wanawapenda wasanii gani kwenye upande wao wa maisha ya kawaida.

obama kendrick

Mfano kwa Rais wetu Magufuli unahisi anaweza kuwa anapenda kumskiliza msanii gani wa Bongo? Ni kitu ambacho wengi wangependa kufahamu.

Upande wa Rais wa Marekani, Barack Obama ameweka wazi wimbo alioupenda zaidi kwa mwaka 2015 kupitia mahojiano na People Magazine, kuwa ni ‘How Much A Dollar Cost’ ya rapa Kendrick...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

2014 Forest Hills Drive ya J.Cole yawa album ya hip hop iliyouza zaidi kwenye wiki ya kwanza mwaka huu

Album mpya ya J.Cole, 2014 Forest Hills Drive imeuza kopi nyingi zaidi kwenye wiki ya kwanza kuliko album yoyote ya hip hop iliyotoka mwaka huu. Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na album ya Rick Ross, Mastermind iliyouza kopi 179,000 kwenye wiki yake ya kwanza. Album ya Cole imeizidi mara mbili Mastermind kwa kuuza kopi 361,000 kwenye […]

 

9 years ago

Vijimambo

SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

 

9 years ago

Bongo5

Ali Choki asema muziki anaopenda zaidi kusikiliza ni Hip Hop

choki

Muimbaji wa muziki wa dansi nchini, Ali Choki a.k.a mzee wa farasi ameweka wazi kuwa katika maisha yake ya kila siku anapenda zaidi kusikiliza muziki wa Hiphop kuliko aina yoyote nyingine ya muziki.

Choki

Ali Choki alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Weekend Breakfast ya East Africa Radio siku ya Jumapili, Choki amedai hata siri kubwa ya uandishi wake pamoja na visa anavyokuwa anaimba vinatokana na kusikiliza sana muziki wa Hip Hop hasa zaidi kwa rappers kutoka nje.

“Unajua kitu ambacho...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

JITOKEZE 2015 & HIP HOP AND RAP STAR SEARCH (LIVE EDITION)

Joined by the Legendary Music Entertainment and Promotions company's Hip Hop & Rap Star search (Live Edition)
Guest Judges: DJ JD, DJ K.U And DJ One BPerformances by: Nash Emcee, Raf MC, Witness Kibonge and Motra the Future
DATE: 13/06/2015 (Saturday)VENUE: MICHUNGWANI PR.SCHOOL MIKOCHENITIME: 12:00 Noon - 8:00 Pm

 

9 years ago

Bongo5

Orodha ya washindi wa BET Hip Hop Awards 2015: Kendrick Lamar na Big Sean waongoza

Rappers Kendrick Lamar na Big Sean ndio wameibuka na tuzo nyingi zaidi kwenye tuzo za BET Hip Hop Awards 2015 zilizorekodiwa weekend iliyopita na kuoneshwa usiku wa Oct.13. Kendrick Lamar na Big Sean kila mmoja ameshinda tuzo tatu wakifuatiwa kwa karibu na Drake aliyeshinda tuzo mbili. Hii ni orodha kamili ya washindi Best Hip Hop […]

 

9 years ago

Bongo5

Diddy aongoza ‘Forbes Hip-Hop Cash Kings 2015’, akifuatiwa na Jay Z na Drake (Orodha kamili)

Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya wasanii wa Hip Hop wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka 2015. Sean “Diddy” Combs ndiye anayeongoza orodha ya mwaka huu (Kutoka nafasi ya pili aliyoshika mwaka jana) na kufanikiwa kumuengua Dr. Dre kwa kutengeneza $60 million. Fedha nyingi za Diddy zimetokana na miradi yake ya Ciroc vodka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani