2014 Forest Hills Drive ya J.Cole yawa album ya hip hop iliyouza zaidi kwenye wiki ya kwanza mwaka huu
Album mpya ya J.Cole, 2014 Forest Hills Drive imeuza kopi nyingi zaidi kwenye wiki ya kwanza kuliko album yoyote ya hip hop iliyotoka mwaka huu. Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na album ya Rick Ross, Mastermind iliyouza kopi 179,000 kwenye wiki yake ya kwanza. Album ya Cole imeizidi mara mbili Mastermind kwa kuuza kopi 361,000 kwenye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo526 Feb
Nyimbo zote 17 za mixtape/album ya Drake zaingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs
9 years ago
Bongo510 Dec
Barack Obama autaja wimbo wa Hip Hop uliomdatisha zaidi mwaka 2015

Watu wengi huwa wanahamu ya kufahamu viongozi wao wa nchi wanapendelea kusikiliza muziki wa aina gani na wanawapenda wasanii gani kwenye upande wao wa maisha ya kawaida.
Mfano kwa Rais wetu Magufuli unahisi anaweza kuwa anapenda kumskiliza msanii gani wa Bongo? Ni kitu ambacho wengi wangependa kufahamu.
Upande wa Rais wa Marekani, Barack Obama ameweka wazi wimbo alioupenda zaidi kwa mwaka 2015 kupitia mahojiano na People Magazine, kuwa ni ‘How Much A Dollar Cost’ ya rapa Kendrick...
9 years ago
Bongo526 Nov
Album ya Adele ‘25’ kuuza nakala milioni 3 Marekani pekee kwenye wiki ya kwanza

Album mpya ya Adele, 25 inatarajiwa kuuza nakala milioni 3 nchini Marekani katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa kampuni ya Nielsen Music.
Hadi November 24 album hiyo ilikuwa imeuza kopi milioni 2.8. Miongoni mwa hizo, milioni 1.45 zimeuzwa mtandaoni kwenye iTunes.
25 imeshazidi hadi rekodi ya mauzo ya album kwa wiki mbili tangu kampuni ya Nielsen ilivyoanza kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991.
Rekodi ya awali ilishikiliwa na album ya *NSYNC, No Strings Attached iliyouza kopi 2,416,000...
10 years ago
Vijimambo
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP


11 years ago
GPLMWANA HIP HOP DARASA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE USIKU HUU
10 years ago
Bongo509 Oct
Wiz Khalifa awa msanii wa kwanza wa Hip Hop kufikisha views bilioni 1 Youtube, ni kupitia ‘See You Again’
9 years ago
Bongo521 Dec
Ali Choki asema muziki anaopenda zaidi kusikiliza ni Hip Hop

Muimbaji wa muziki wa dansi nchini, Ali Choki a.k.a mzee wa farasi ameweka wazi kuwa katika maisha yake ya kila siku anapenda zaidi kusikiliza muziki wa Hiphop kuliko aina yoyote nyingine ya muziki.
Ali Choki alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Weekend Breakfast ya East Africa Radio siku ya Jumapili, Choki amedai hata siri kubwa ya uandishi wake pamoja na visa anavyokuwa anaimba vinatokana na kusikiliza sana muziki wa Hip Hop hasa zaidi kwa rappers kutoka nje.
“Unajua kitu ambacho...
11 years ago
Bongo514 Oct
Orodha wa washindi wa BET Hip Hop Awards 2014