Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtanzania anahitaji sh 869 kwa siku

IMEBAINIKA kuwa kila Mtanzania anahitaji sh 869.5 kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya chakula kila siku ikilinganishwa na sh 414.8 mwaka 2007. Hayo yalisemwa na Waziri wa Fedha na Uchumi,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KUNA MTANZANIA MWENZETU ANAHITAJI MSAADA MINNESOTA NCHINI MAREKANI

Mchungaji Anastasia (phD) aliugua akiwa Usariver Arusha kwa muda wa wiki kadhaa kabla ya kulazwa Hospitalini Seliani pale

Arusha mjini I C U kwa wiki kama tatu hivi hatimaye alihamishwa Nairobi Hospital Kenya kwa Helicoptor tarehe 29 September

2014 na kufariki tarehe 19 October, 2014. na siku hiyo hiyo ya tarehe 19 October 2014 Apt ya Sebastian at 610S 8th st Apt 310,

Minneapolis, Mn 55404 iliteketea moto na binti yake aitwaye Joyce S Malle aliungua vibaya na kulazwa Hospitalini kule...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

Mtanzania Joyce Rwehumbiza anayeishi Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 alisherehekea siku yake ya kuzliwa ya kufikisha miaka 40 kwa kutangaza utalii wa Tanzania huku akichangisha fedha kwa bahati nasibu ya kuuza tiketi kwa lengo la kusaidia Tanzania na huku akionyesha video za uzuri wa mbuga zetu ikiwemo Zanzibar.Vitu mbalimbali viliuzwa kwa lengo la kutoa msaada kwa wasiojiweza Tanzania.Joyce Rwehumbiza akiongea machache na kutoa shukurani kwa wahudhuriaji kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA


Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa tunaomba...

 

11 years ago

GPL

‘Mtanzania aliondoka Chelsea siku nyingi tu’

Mtanzania aliyekuwa akiichezea timu ya vijana ya Chelsea ya England, Adam Nditi. Na John Joseph
HABARI ni kuwa Mtanzania aliyekuwa akiichezea timu ya vijana ya Chelsea ya England, Adam Nditi, alishaondoka Chelsea zaidi ya miezi minne iliyopita na siyo mwezi uliopita. Nditi ambaye alizichezea timu za vijana za klabu hiyo ya London, ikiwemo ile ya chini ya umri wa miaka 21, aliondoka Chelsea tangu mwezi wa sita mwaka huu na...

 

9 years ago

Michuzi

ASYA IDAROUS KHAMSINI ANOGESHA SIKU YA MTANZANIA SEATTLE

Walimbwende wakiwa tayari kufanya vitu vyao wakiwa na vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Mlimbwende akiwa kwenye kivazi kutoka kwa mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Kivazi chekundu kikiwa na riboni ya punda milia kikimfanya mlimbwende...

 

10 years ago

Bongo5

Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya

Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]

 

11 years ago

GPL

WEMA ANAHITAJI KUOMBEWA

'Baby' wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu akiwa pekupeku baada ya kupandisha mori! NAJUA nitawakera wengi sana kwa kuandika habari zinazomhusu Wema Sepetu, msichana mwenye jina kubwa Bongo, lisilofanana na kazi anayoifanya, kwa sababu wapo wanaompenda sana na wengine wamechoshwa naye. Wema akiwa ndani ya News Room akimtafuta mwandishi wa Global… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Alexis Sanchez anahitaji kupumnzika

Alexis Sanchez anaweza kukosa mechi ya kwanza ya msimu katika kikosi cha Arsenal.

 

10 years ago

GPL

BI. CHEKA ANAHITAJI MSAADA WAKO

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka hivi sasa ni mgonjwa. Anahitaji matibabu na huduma muhimu kutokana na umri wake mkubwa (ana miaka 55). Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka. Hali yake kimaisha ni mbaya, kwani anaishi katika kibanda cha udongo, yeye na wajukuu zake. Global Publishers inaendesha harambee hii ili aweze angalau kujenga kibanda cha bati na kupata matibabu. Mchangie chochote ulichonacho, iwe 500, 1000,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani