Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNA MTANZANIA MWENZETU ANAHITAJI MSAADA MINNESOTA NCHINI MAREKANI

Mchungaji Anastasia (phD) aliugua akiwa Usariver Arusha kwa muda wa wiki kadhaa kabla ya kulazwa Hospitalini Seliani pale

Arusha mjini I C U kwa wiki kama tatu hivi hatimaye alihamishwa Nairobi Hospital Kenya kwa Helicoptor tarehe 29 September

2014 na kufariki tarehe 19 October, 2014. na siku hiyo hiyo ya tarehe 19 October 2014 Apt ya Sebastian at 610S 8th st Apt 310,

Minneapolis, Mn 55404 iliteketea moto na binti yake aitwaye Joyce S Malle aliungua vibaya na kulazwa Hospitalini kule...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

Kijana Abel Machanga mwenye umri wa miaka 24 amelazwa Hospital ya Taifa Muhimbili Wodi ya Sewahaji,chumba namba 19,Kitanda namba 28 kwa tatizo la uvimbe kwenye ubongo ambalo limesababisha macho yake kutoka nje.
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.


Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtanzania anahitaji sh 869 kwa siku

IMEBAINIKA kuwa kila Mtanzania anahitaji sh 869.5 kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya chakula kila siku ikilinganishwa na sh 414.8 mwaka 2007. Hayo yalisemwa na Waziri wa Fedha na Uchumi,...

 

11 years ago

Michuzi

Mtanzania mwenzetu,elisha bahunde apata ajali na kuvunjika miguu yote miwili

Mtanzania Elisha Bahunde jina maarufu Eric ambaye siku ya Jumamosi Feb 15, 2014 alipata ajali Jimbo la Indiana iliyopelekea kukatika kwa miguu yote miwili na mkono wa kulia na baadae kuhamishiwa Jimbo la Maryland kwa matibabu zaidi kwa sasa yupo University Of Maryland Medical Center iliyopo 22 S Greene St, Baltimore, MD Ghorofa ya 6 chumba # 8 na anatumia jina la Elisha Bahunde.ama kweli hujafa hujaumbika na Mwenyezi Mungu ndiye mueza wa kila jambo,Mdau huyu wiki iliyopita alishiriki kwenye...

 

10 years ago

GPL

BI. CHEKA ANAHITAJI MSAADA WAKO

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka hivi sasa ni mgonjwa. Anahitaji matibabu na huduma muhimu kutokana na umri wake mkubwa (ana miaka 55). Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka. Hali yake kimaisha ni mbaya, kwani anaishi katika kibanda cha udongo, yeye na wajukuu zake. Global Publishers inaendesha harambee hii ili aweze angalau kujenga kibanda cha bati na kupata matibabu. Mchangie chochote ulichonacho, iwe 500, 1000,...

 

9 years ago

Vijimambo

TUMSAIDIE NATALIA ANAHITAJI MSAADA WAKO

My name is Natalia. I am a MN resident. In 2008 I began feeling sick with pain everywhere. I went to see different doctors none of which could determine what was wrong with me. As time passed without diagnosis or treatment the pain became so severe almost disabling me physically. I was confined to my bed. It was difficult as i had no help. As sick as i was, God enabled be to have a strong heart and mind set. I was able to drag myself to the kitchen to make poridge and milk. That is all i ate...

 

11 years ago

Michuzi

Mtoto Maimuna Yahaya anahitaji msaada wako

 Mtoto Maimuna Yahaya akiwa  na Mama yake Mzazi  Tunu Juma.  Msaada unahitajika kwa ajili ya matibabu ya mtoto Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto wenye mahitaji maalum  ya Irente Rainbow (Lushoto- Tanga) Darasa la pili. Yeye anasumbuliwa na tatizo la mifupa na ukubwa wa kichwa tangu kuzaliwa kwake, tatizo lililompelekea kuwa na ulemavu wa viungo na mtindio wa Ubongo.

Mama wa mtoto huyo, Bi. Tunu Juma Maziku amesema amekuwa akimpeleka mwanae huyo Maimuna...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA


Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa tunaomba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani