Mtanzania mwenzetu,elisha bahunde apata ajali na kuvunjika miguu yote miwili
Mtanzania Elisha Bahunde jina maarufu Eric ambaye siku ya Jumamosi Feb 15, 2014 alipata ajali Jimbo la Indiana iliyopelekea kukatika kwa miguu yote miwili na mkono wa kulia na baadae kuhamishiwa Jimbo la Maryland kwa matibabu zaidi kwa sasa yupo University Of Maryland Medical Center iliyopo 22 S Greene St, Baltimore, MD Ghorofa ya 6 chumba # 8 na anatumia jina la Elisha Bahunde.ama kweli hujafa hujaumbika na Mwenyezi Mungu ndiye mueza wa kila jambo,Mdau huyu wiki iliyopita alishiriki kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Nov
KUNA MTANZANIA MWENZETU ANAHITAJI MSAADA MINNESOTA NCHINI MAREKANI
Arusha mjini I C U kwa wiki kama tatu hivi hatimaye alihamishwa Nairobi Hospital Kenya kwa Helicoptor tarehe 29 September
2014 na kufariki tarehe 19 October, 2014. na siku hiyo hiyo ya tarehe 19 October 2014 Apt ya Sebastian at 610S 8th st Apt 310,
Minneapolis, Mn 55404 iliteketea moto na binti yake aitwaye Joyce S Malle aliungua vibaya na kulazwa Hospitalini kule...
9 years ago
Michuziupdates za dada Joyce Richard Mwambepo wa mbeya aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuvunjika miguu ajalini
Dada Joyce alipowasili Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki iliyopita
Ndugu Wasamaria Wema,
Tunapenda kutumia fursa hii kuwashirikisha tena habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Rishard Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye wa miaka 4, na miguu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na huyo mwanaye wa miaka 4.Kwa bahati mbaya mwezi...
11 years ago
Dewji Blog28 May
Mwanafunzi mlemavu mikono yote miwili aomba msaada wa JK
Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Julius Charles (12) ambaye anatumia mguu wa kulia kuandika kutokana na kutokuwa na mikono.Pia anatumia mguu huo kutandika kitanda chake.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Julius Charles (12) ambaye hana mikono ameiomba serikali imsaidie kupata mtu atakaye mhudumia ili aweze kusoma kwa uhuru zaidi aweze...
11 years ago
Michuzi29 May
MWANAFUNZI MLEMAVU MIKONO YOTE MIWILI AOMBA MSAADA
![DSC08466](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC08466.jpg)
Na Nathaniel Limu, Ikungi
MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Julius Charles (12) ambaye hana mikono ameiomba serikali imsaidie kupata mtu atakaye mhudumia ili aweze kusoma kwa uhuru zaidi aweze...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC08466.jpg)
MWANAFUNZI MLEMAVU MIKONO YOTE MIWILI AOMBA MSAADA WA JK
10 years ago
Vijimambo19 Feb
Mtoto albino aliyenyang'anywa mikononi mwa mamaye akutwa amekatwa miguu, mikono yote. Kiwiliwili chake chatelekezwa msituni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Joseph-konyo-19Feb2015.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Siku tatu baada ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Yohana Bahati (1), kutekwa na watu wasiofahamika, hatimaye mwili wake umepatikana ukiwa umekatwa miguu, mikono yote na kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika Kitongoji cha Mapinduzi, Kijiji cha Rumasa ndani ya hifadhi ya msitu wa Biharamulo Wilaya ya Chato, mkoani Geita.
Mtoto huyo alinyakuliwa Jumapili iliyopita nyumbani kwao saa 2:15 usiku akiwa amebebwa na mama yake mzazi, Esther...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Makamba atunzwa kwao apata wadhamini kuliko mikoa yote aliyopita
Mh January Makamba alikua katika mkoa wa Tanga alipokulia na kuzaliwa, wakazi wengi wa Tanga Walijitokeza Kumpokea kwa Shangwe nyingi.
Wananchi wa mkoa wa Tanga wamejitokeza watu wengi kumdhamini kuliko mikoa yote aliyopita ambapo jumla ya watu 15,043 wamejitokeza kwenye ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi CCM mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015……Fuatilia matukio...
10 years ago
VijimamboMIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA