Kimlola:Kanumba Aliondoka na Nyota Yangu, Maombi Yameniokoa!
Mwigizaji wa filamu,Emmanuel Kimlola ‘Kimlola Kimlola’ ametamba kwa kusema kuwa maombi ya kazi zake katika uigizaji yamejibu kwani toka aokoke kila kitu akifanya kazi inajibu tofauti na siku zilizopita ilikuwa ngumu hata kupata kazi ya filamu na kushiriki hata sehemu ndogo, pengine watu walimsahau baada ya kifo cha Kanumba.
“Nilipatwa na hofu nikitaka kuamini kuwa labda swahiba yangu Marehemu Kanumba kaondoka na nyota yangu na hilo lilitokana na ukaribu na marehemu kwani ilikuwa kila akitoa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RAY: KANUMBA ALIKUFA NA NYOTA YANGU!
10 years ago
Bongo529 Dec
Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Mnuso wa Kimlola A. Kimlola “Nelly na Scholastica L. Lazaro wafana jijini Dar

10 years ago
MichuziKIMLOLA A. KIMLOLA "NELLY AFUNGA NDOA NA SCHOLASTICA L. LAZARO
11 years ago
GPL
JACQUELINE WOLPER AANGUSHA MAOMBI KANUMBA DAY
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
BOB: Kanumba ametangulia na ahadi yangu
“KIFO cha mwigizaji Steven Kanumba kilinishtua na kuniuma, kwani ni mtu ambaye nilikuwa nimepanga kufanya naye kazi nyingi, lakini nikiwa nimeahidiwa kufanya naye kazi, ghafla furaha yangu iliingia dosari baada...
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba
“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
MAMA KANUMBA: Skendo ya Kanumba iliyonitesa ni ya Ung'eng'e
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ambaye kwasasa ameingia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .
Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu : “Eti Kanumba hajui Kiingereza , hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa, ” alisema mama Kanumba .
Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza...