JACQUELINE WOLPER AANGUSHA MAOMBI KANUMBA DAY
![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm2MWz*wWTE1lWuVCTgfI*qgwPEz84uRJMqGi3sFYbatjYJ7n2YkF1GNBXAQuKm521AEXURMaSv9uiLofENr4UaW/MAYA1.gif)
Na Erick Evarist MKALI katika anga la sinema Bongo, Jacqueline Wolper ameangusha sala nzito kumkumbuka marehemu Steven Kanumba. Jacqueline Wolper akisali nyumbani kwake na katika kaburi la Kanumba. Wolper alifanya maombi hayo juzi Jumatatu ambapo sala hizo alizifanya nyumbani kwake, kisha akaelekea katika kaburi la Kanumba, Kinondoni jijini Dar kumalizia maombi yake. “Ni mhimili mkubwa katika tasnia yetu, hatuna budi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg0Z9qnU*hPEpMJdwEVsHuW2IGj2pL0CjopdkIn*Tf9PVTx67VBupJF1rnrpsNySx9Brm0pg9RpV5SIrKp*9OH31/GLOBALTV23.jpg?width=650)
JACQUELINE WOLPER ATEMBELEA GLOBAL
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Jacqueline Wolper aponda mapenzi ya fedha
STAA wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, amesema hana mpango wa kuwa na mume tajiri, hivyo amewataka wasihangaike kumtafuta. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wolper alisema hapendi wanaume wenye...
11 years ago
Michuzi09 May
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba
“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...
10 years ago
Mtanzania13 May
Jacqueline Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego ameshajulikana
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za kibongo, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.
“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa mpenzi wangu kwa kuwa ni zaidi ya rafiki kwangu, ila watu wasio waelewa ndiyo walikuwa wakivumisha kwamba tuna uhusiano kwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5jUGfjGXSLA/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Jacqueline Wolper Ana Mimba ya Miezi Mitatu?
Jacqueline Wolper ni mama kijacho? – Kwa maneno yake mwenyewe aliyoandika Instagram wakati akiwapongeza Diamond na Zari kwa kupata mtoto wao wa kwanza, Latiffah.
“Congratulations dad and mom MTV, God is always great, Congrats Wasafi President for the little princes. Mine is on the way 5 months to go!!,” ameandika Wolper.
“Sema mtoto wa kwanza bwana unaweza kujikuta unataka kum’beba wewe tuu na kazini usiendee, utunyime mashabk haki yetu ukaacha kututungia viburudisho ukawa unalea. Hongera...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0KyT*Of17-PEvJOmZa1s*ggRjAGs6MvT5QGoa641Ra1Iy7Q1AdlNR2KEKNs*KjkcLYZUWEoc7PM6Q5BSet-kKn5/ergtertertetetetertet.jpg)
JACQUELINE WOLPER AMFUATA EDWARD LOWASSA UKAWA!
10 years ago
Bongo Movies27 Feb
UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!
Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.
Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...