Jacqueline Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego ameshajulikana
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za kibongo, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.
“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa mpenzi wangu kwa kuwa ni zaidi ya rafiki kwangu, ila watu wasio waelewa ndiyo walikuwa wakivumisha kwamba tuna uhusiano kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies13 May
Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego Ameshajulikana
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.
“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa mpenzi wangu kwa kuwa ni zaidi ya rafiki kwangu, ila watu wasio waelewa ndiyo walikuwa wakivumisha kwamba tuna uhusiano kwa maslahi yao, lakini sasa...
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Wolper Atibua Uchumba wa Nay wa Mitego!!!
UBUYU! Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa mbongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema.
Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo fulani ndipo Siwema akaja juu na kuanza kumcharukia bebi wake huyo.
Alipoulizwa Nay wa Mitego kuhusiana na ugomvi huo, alifunguka:
“Wolper ni...
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Hapa na Pale:Penzi la Wolper na Nay wa Mitego Kuwekwa Wazi!!
Baada ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani.
Kwa mujibu GPL, wawili hao walianzisha uhusiano wao mwishoni mwa mwaka jana na sasa mapenzi ndiyo yamekolea hadi kufikia hatua ya Nay wa Mitego kuanika hisia zake mtandaoni.
“Wamekuwa wakibanjuka kwa siri sana si unajua Nay ana mchumba wake...
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg0Z9qnU*hPEpMJdwEVsHuW2IGj2pL0CjopdkIn*Tf9PVTx67VBupJF1rnrpsNySx9Brm0pg9RpV5SIrKp*9OH31/GLOBALTV23.jpg?width=650)
JACQUELINE WOLPER ATEMBELEA GLOBAL
10 years ago
Bongo529 Aug
New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay