UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!
Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.
Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2XoC4UL*-F1qL9B13332NKIh*xDQBzeq1EPOqEdWHQIar5NlHa6UEN*Xg9RXG1qmSg1YtuVo8XvWi-2tfIlI2g/FRONTIJUMAA.jpg)
SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Ls9QcodM2cHTd8d**l8GlOO9wqozMpVGaKkHGNC0r6Mjw4lzMHe7sf*YtorN7pJNKYRZEjs-XozAERC*Vfqvreh/mastaajeuli.jpg)
MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg0Z9qnU*hPEpMJdwEVsHuW2IGj2pL0CjopdkIn*Tf9PVTx67VBupJF1rnrpsNySx9Brm0pg9RpV5SIrKp*9OH31/GLOBALTV23.jpg?width=650)
JACQUELINE WOLPER ATEMBELEA GLOBAL
11 years ago
Michuzi09 May
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Jacqueline Wolper aponda mapenzi ya fedha
STAA wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, amesema hana mpango wa kuwa na mume tajiri, hivyo amewataka wasihangaike kumtafuta. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wolper alisema hapendi wanaume wenye...
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!
Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.
Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.
Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...
10 years ago
Bongo Movies21 Mar
Ubuyu Kuhusu Wolper Kumpiga Mizinga Bwana wa Wastara Huu Hapa
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, chanzo chao makini makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kilidokeza kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na Wolper lakini alimshindwa kutokana na tabia hiyo ya kupiga mizinga.
“Yaani Wolper ni balaa, anampiga sana...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5jUGfjGXSLA/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania13 May
Jacqueline Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego ameshajulikana
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za kibongo, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.
“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa mpenzi wangu kwa kuwa ni zaidi ya rafiki kwangu, ila watu wasio waelewa ndiyo walikuwa wakivumisha kwamba tuna uhusiano kwa...