MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA
![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Ls9QcodM2cHTd8d**l8GlOO9wqozMpVGaKkHGNC0r6Mjw4lzMHe7sf*YtorN7pJNKYRZEjs-XozAERC*Vfqvreh/mastaajeuli.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan FEDHA inaongea! Mastaa wanaowakilisha Klabu ya Bongo Movie Unity na Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) wameonesha jeuri ya fedha kwa kuwatunza maharusi, mwigizaji Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Mastaa wa Bongo Movies wakionyesha jeuri ya fedha katika harusi ya msanii Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Mwika, Sinza jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2XoC4UL*-F1qL9B13332NKIh*xDQBzeq1EPOqEdWHQIar5NlHa6UEN*Xg9RXG1qmSg1YtuVo8XvWi-2tfIlI2g/FRONTIJUMAA.jpg)
SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!
10 years ago
Bongo Movies27 Feb
UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!
Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.
Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Jeuri ya fedha Yanga
MWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.
Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt5xAviDDYktbIqnOA60UCxD2ou9KaKsl5Mo5WFHTdmWJGDiEyIEQLjIAvpYp8LsPKRfLCN6hfDQaiL5spAnfFo1/ray.jpg?width=650)
RAY AONESHA JEURI YA FEDHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDN7TW7Uf*SZzK3zziDyoujlWKEZZaR5Mx1dyHr5k0yjDxEnCn6if4sW1J3uGE9A76p51cMVe6dph6nbFzYCWQOH/wemaB.jpg?width=650)
WEMA JEURI YA FEDHA KWISHA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TZV8ZqIUQ2V37bR2BuYZVuGG9Ns-g7qw4scQssr98khA2p-qBevO9Z1H2TMmcFjHrPlndHyDKaOLrBtQGL5lkJb/yanga.jpg?width=650)
Yanga yaonyesha jeuri ya fedha
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wFSeyrSyaR0ihFz0ON1TsHZLVm7zVXrXNefg9aiFsivRqYPoOCkbjNP1DcGNxLmfFvJ*MoS8Y*2UNZ5LDO4W-ze/zari.jpg)
HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA
10 years ago
Mwananchi03 May
Lowassa, Membe, Pinda waonyeshana jeuri ya fedha Z’bar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvt7q3UVG*cs-Dw1FdhPe4Tm5RSGci7w4WwofDSapwGbdJUfmsvHOfQV7B-0kbuW1oHhDC4WzDSUjIVyspySnPSH/1.jpg)
JEURI YA FEDHA: APATA AJALI NA LAMBORGHINI YA MIL 675, ASEMA ATANUNUA NYINGINE KESHO YAKE