RAY AONESHA JEURI YA FEDHA
![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt5xAviDDYktbIqnOA60UCxD2ou9KaKsl5Mo5WFHTdmWJGDiEyIEQLjIAvpYp8LsPKRfLCN6hfDQaiL5spAnfFo1/ray.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu NYOTA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kumpangishia nyumba nzima mpenzi wake ambaye pia anasemekana ni mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans, Amani lina picha kamili. Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans. Kwa mujibu wa sosi aliye karibu na mastaa hao (jina tunalo), Ray amemwaga shilingi milioni 3,840,000 kwa ajili ya kodi ya nyumba hiyo iliyopo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3g5*vkPb14hne1XrdONnvembNPCoCgKnJzB7BrugA4fTgZLIsJlF0-G*VENiVd2upNimCDz0jJmmpuJh7VWdrG/KAJALA4.jpg?width=650)
KAJALA AONESHA JEURI YA MAGARI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC0hLg2pPh*5r1JAdVPGbAkYZgGWzY5647yLXh9-vHh8wcweiOs32e2H8MBF912hr8nAxceu9l6uIqFd6JxbmFhg/nay.jpg)
NAY WA MITEGO AONESHA JEURI YA PESA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70shEKr1*TgA9JleJRMEyGSLB-pM5b3HKzCsUS3kTSddZvNncWeopC*i860BSq-9CkzJbcP*2r*oZo1Cl*MX20Qe/SHAMSA.gif?width=650)
SHAMSA AONESHA JEURI KWA MZAZI MWENZAKE
9 years ago
Bongo527 Aug
Floyd Mayweather aonesha jeuri ya ‘parking’ ya magari aghali duniani!!
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Jeuri ya fedha Yanga
MWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.
Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Ls9QcodM2cHTd8d**l8GlOO9wqozMpVGaKkHGNC0r6Mjw4lzMHe7sf*YtorN7pJNKYRZEjs-XozAERC*Vfqvreh/mastaajeuli.jpg)
MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TZV8ZqIUQ2V37bR2BuYZVuGG9Ns-g7qw4scQssr98khA2p-qBevO9Z1H2TMmcFjHrPlndHyDKaOLrBtQGL5lkJb/yanga.jpg?width=650)
Yanga yaonyesha jeuri ya fedha
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDN7TW7Uf*SZzK3zziDyoujlWKEZZaR5Mx1dyHr5k0yjDxEnCn6if4sW1J3uGE9A76p51cMVe6dph6nbFzYCWQOH/wemaB.jpg?width=650)
WEMA JEURI YA FEDHA KWISHA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wFSeyrSyaR0ihFz0ON1TsHZLVm7zVXrXNefg9aiFsivRqYPoOCkbjNP1DcGNxLmfFvJ*MoS8Y*2UNZ5LDO4W-ze/zari.jpg)
HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA