Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAY WA MITEGO AONESHA JEURI YA PESA

Alipoanza kwa kutoa ngoma yake iliyomtambulisha kwenye gemu ya Nasema Nao, hakuna aliyetegemea kwamba Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ aliye chini ya Brand ya Mkong’oto Jazz Band anaweza kufika mbali na kupata mafanikio makubwa kama aliyonayo leo. Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa pembeni ya ndinga mpya   aina Nissan Murano aliyoivuta ambayo thamani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video ya ‘Mapenzi au Pesa’ hatujaipotezea — Nay Wa Mitego

Ubize wa show ndio sababu kubwa aliyoitaja Nay Wa Mitego kuwa chanzo cha kuchelewa kushoot video ya collabo yake na Diamond, ‘Mapenzi au Pesa’. Wakati ambapo baadhi ya mashabiki wameanza kukata tamaa kutokana na muda mrefu kupita bila kuiona video hiyo, Nay amesema lazima walipe deni hilo baada ya uchaguzi kupita ambapo yeye na Diamond […]

 

10 years ago

Vijimambo

HII HAPA MAPENZI PESA DIAMOND NA NAY WA MITEGO JITIRIRISHE NA WEWE KIROHO SAFI

Ni kweli mapenzi pesa au ufundi? kama ufundi basi nenda veta


 

11 years ago

GPL

RAY AONESHA JEURI YA FEDHA

Na Waandishi Wetu
NYOTA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kumpangishia nyumba nzima mpenzi wake ambaye pia anasemekana ni mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans, Amani lina picha kamili. Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans. Kwa mujibu wa sosi aliye karibu na mastaa hao (jina tunalo), Ray amemwaga shilingi milioni 3,840,000 kwa ajili ya kodi ya nyumba hiyo iliyopo...

 

11 years ago

GPL

KAJALA AONESHA JEURI YA MAGARI

Stori:Gladness Mallya na Shakoor Jongo MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba. Muonekano wa ndani wa gari aina ya Toyota Bravis anayomiliki Kajala. Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo Kimara Temboni akiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

10 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA AONESHA JEURI KWA MZAZI MWENZAKE

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha jeuri kwa kueleza kwamba anamlea mwanaye Terry kwa mapenzi tele ili asimkumbuke baba yake, Dickson ambaye wamemwagana. Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Akistorisha  na gazeti hili Shamsa alisema tangu wamwagane na mzazi mwenzake, mtoto wake hajawahi kumuuliza baba yuko wapi kitendo kinachomfanya azidishe mapenzi kwake kwani hata yeye alilelewa na mama yake bila baba. “Kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani