Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeuri ya fedha Yanga

yangMWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.

Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga yaonyesha jeuri ya fedha

Kikosi cha Yanga. Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeonyesha jeuri ya fedha kwa wachezaji wake kufuatia kuwaahidi donge nono kila mechi kati ya walizobakiza ili kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Kabla ya mechi za jana Jumapili, Yanga ilikuwa katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 46, nyuma ya Azam iliyokuwa na pointi 50. Kikizungumza na Championi Jumatatu, chanzo cha...

 

11 years ago

GPL

WEMA JEURI YA FEDHA KWISHA!

Wema Isaac Sepetu. Stori: Oscar Ndauka na Richard Manyota
NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema kwenye gemu la sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu inadaiwa imefikia nchani, Risasi Mchanganyiko limepashwa ‘ei tu zedi’.…

 

11 years ago

GPL

RAY AONESHA JEURI YA FEDHA

Na Waandishi Wetu
NYOTA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kumpangishia nyumba nzima mpenzi wake ambaye pia anasemekana ni mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans, Amani lina picha kamili. Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans. Kwa mujibu wa sosi aliye karibu na mastaa hao (jina tunalo), Ray amemwaga shilingi milioni 3,840,000 kwa ajili ya kodi ya nyumba hiyo iliyopo...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA

Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan
FEDHA inaongea! Mastaa wanaowakilisha Klabu ya Bongo Movie Unity na Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) wameonesha jeuri ya fedha kwa kuwatunza maharusi, mwigizaji Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Mastaa wa Bongo Movies wakionyesha jeuri ya fedha katika harusi ya msanii Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Mwika, Sinza jijini...

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA

  Kibosile  Ivan Ssemwanga akiwa na  ‘Zari’. Makala : Hashim Aziz na mitandao Umaarufu wa msanii wa…

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe, Pinda waonyeshana jeuri ya fedha Z’bar

>Hatimaye makada wa CCM wanaotajwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, juzi walipata nafasi ya kutunishiana misuli baada ya kualikwa kuchangia mfuko wa maendeleo wa mkoa mpya wa CCM wa Magharibi visiwani hapa.

 

11 years ago

Mwananchi

Jeuri ya Yanga yaitesa Cecafa

Baada ya kuiondoa Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limesema litaijadili na kisha kuichukulia hatua kali klabu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya Naggi aonja jeuri ya Yanga

Mkurugenzi wa Uufundi wa Yanga, Patrick Naggi aliyetangaza kumwaga manyanga hivi karibuni kwakile alichodai ni ubabaishaji wa viongozi wa klabu hiyo, bado anaendelea kusota Dar es Salaam akisubirli mafao yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Jeuri yaiponza Yanga kwa mahakama

Sakata la Yanga na wachezaji wake Stephen Malashi na  Wisdom Ndlovu, limechukua sura mpya baada ya kubainika viongozi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani