Yanga yaonyesha jeuri ya fedha
Kikosi cha Yanga. Na Khadija Mngwai UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeonyesha jeuri ya fedha kwa wachezaji wake kufuatia kuwaahidi donge nono kila mechi kati ya walizobakiza ili kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Kabla ya mechi za jana Jumapili, Yanga ilikuwa katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 46, nyuma ya Azam iliyokuwa na pointi 50. Kikizungumza na Championi Jumatatu, chanzo cha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Jeuri ya fedha Yanga
MWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.
Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Ripoti yaonyesha ubadhirifu wa fedha A Kusini
11 years ago
GPLRAY AONESHA JEURI YA FEDHA
11 years ago
GPLWEMA JEURI YA FEDHA KWISHA!
11 years ago
GPLMASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA
10 years ago
GPLHUYU NDIYE ALIYEMPA ZARI JEURI YA FEDHA
10 years ago
Mwananchi03 May
Lowassa, Membe, Pinda waonyeshana jeuri ya fedha Z’bar
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Jeuri ya Yanga yaitesa Cecafa
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Mkenya Naggi aonja jeuri ya Yanga