Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Floyd Mayweather aonesha jeuri ya ‘parking’ ya magari aghali duniani!!

Bondia Floyd Mayweather, 38, ambaye anajiandaa na pambano lake la mwisho dhidi ya Andre Berto litakalofanyika MGM Granda mjini Las Vegas, Septemba 12, ameonesha magari yake matano ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 10.6 kwa pamoja katika klabu yake ya masumbwi mjini Las Vegas, Nevada. Magari ya Mayweather yakiwa yamepaki nje ya klabu yake […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAJALA AONESHA JEURI YA MAGARI

Stori:Gladness Mallya na Shakoor Jongo MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba. Muonekano wa ndani wa gari aina ya Toyota Bravis anayomiliki Kajala. Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo Kimara Temboni akiwa...

 

11 years ago

GPL

RAY AONESHA JEURI YA FEDHA

Na Waandishi Wetu
NYOTA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kumpangishia nyumba nzima mpenzi wake ambaye pia anasemekana ni mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans, Amani lina picha kamili. Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mkewe mtarajiwa, Chuchu Hans. Kwa mujibu wa sosi aliye karibu na mastaa hao (jina tunalo), Ray amemwaga shilingi milioni 3,840,000 kwa ajili ya kodi ya nyumba hiyo iliyopo...

 

11 years ago

GPL

NAY WA MITEGO AONESHA JEURI YA PESA

Alipoanza kwa kutoa ngoma yake iliyomtambulisha kwenye gemu ya Nasema Nao, hakuna aliyetegemea kwamba Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ aliye chini ya Brand ya Mkong’oto Jazz Band anaweza kufika mbali na kupata mafanikio makubwa kama aliyonayo leo. Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa pembeni ya ndinga mpya   aina Nissan Murano aliyoivuta ambayo thamani...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Wachezaji mbalimbali duniani walivyozungumzia kifo cha Floyd

Wachezaji wa Liverpool walipiga goti katikati ya uwanja wa Anfield kufikisha ujumbe wa kupinga mauaji ya raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika George Floyd mjini Minneapolis.

 

10 years ago

GPL

SHAMSA AONESHA JEURI KWA MZAZI MWENZAKE

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha jeuri kwa kueleza kwamba anamlea mwanaye Terry kwa mapenzi tele ili asimkumbuke baba yake, Dickson ambaye wamemwagana. Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Akistorisha  na gazeti hili Shamsa alisema tangu wamwagane na mzazi mwenzake, mtoto wake hajawahi kumuuliza baba yuko wapi kitendo kinachomfanya azidishe mapenzi kwake kwani hata yeye alilelewa na mama yake bila baba. “Kama...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mchezaji aonesha tisheti ya "haki kwa George Floyd"

Mchezaji wa timu ya Borrusia Dortmund na wachezaji wengine hawatachukuliwa hatua baada ya kutoa matamshi ya kupinga ubaguzi wa rangi

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkwara wa Floyd Mayweather hadharani

Bondia Floyd Mayweather ameamua kufanya mazoezi ya wazi na kuruhusu vyombo vya habari kuchukua picha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Floyd Mayweather amshinda Pacquiao

Bondia wa Marekani Floyd Mayweather ameshinda pigano lililosubiri kwa wingi katika miongo kadhaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani