Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!

Stori:musa mateja/Ijumaa
Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike ndani ya tasnia ya sinema za Kibongo ambapo safari hii mastaa wawili, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!

Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.

Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini  kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.

Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAONESHANA JEURI YA FEDHA

Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan
FEDHA inaongea! Mastaa wanaowakilisha Klabu ya Bongo Movie Unity na Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) wameonesha jeuri ya fedha kwa kuwatunza maharusi, mwigizaji Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Mastaa wa Bongo Movies wakionyesha jeuri ya fedha katika harusi ya msanii Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda. Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Mwika, Sinza jijini...

 

10 years ago

GPL

SKENDO YA FREEMASON YAMGANDA WOLPER

Stori: Gladness Mallya na Musa Mateja
BAADA ya hivi karibuni kunaswa akiingia katika jengo lao, staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline Wolper amezidi kugandwa na skendo ya Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemason akidaiwa kuishi kwa masharti ya taasisi hiyo huku nyumba yake ikiwa imejaa vitu vinavyodaiwa kuwa vya ‘Ki-freemason’. Staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline...

 

11 years ago

GPL

WOLPER ACHOMOA SKENDO YA KUTELEKEZA WAZAZI

Stori: Mayasa Mariwata Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha: “Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” ...

 

11 years ago

GPL

LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU

E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana’ke. Staa Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika pozi. Habari zinaeleza bifu lao limefikia hatua ya kuanikana waziwazi hadi kumwagiana matusi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram lakini huondoa majibizano yao machafu kila baada ya...

 

10 years ago

GPL

SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA

Stori: SHAKOOR JONGO
Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya gari likiwa gumu na ahadi zisizokwisha lakini mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika historia ya tofauti. Mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo,...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu, Wolper Watangaziwa Kichapo na Husna Maulid

Video Queen wa Bongo ambaye pia aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amewatangazia kichapo kwa mastaa wawili wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ endapo watathubutu tena kumsogelea mpenzi wake wa sasa (jina kalificha).

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Husna ambaye pia amejikita kwenye ujasiriamali alisema kuwa, wakati f’lani yeye na Lulu walizinguana kwa sababu ya mwanaume aliyekuwa akifahamika kwa jina la Seki, akawa mpole, wakati mwingine...

 

10 years ago

GPL

MILLARD ABANWA MAHUSIANO NA JOKATE, LULU NA WOLPER

MTANGAZAJI mwenye sauti nzito Bongo kupitia Clouds FM, Millard Ayo, Jumatatu iliyopita alibanwa azungumzie uhusiano wake na warembo wenye majina makubwa nchini, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’,  Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambapo alimfungukia mmojammoja. Katika mahojiano maalum na Kipindi cha Sporah Show, mtangazaji alimbana Millard akimtaka aseme ukweli kuhusu warembo hao ambapo  alianza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani