WOLPER ACHOMOA SKENDO YA KUTELEKEZA WAZAZI
![](http://api.ning.com:80/files/Whu7RSvDwY2zZ4mmsY1RfoPBqKsQozLgQ3FgvNvo1gsW0rTLYEpHoOVvjHnZjpjpBYK-AD17fmEBvdQpZSNq1ukp-jlPHEPN/aa40629cdd0411e2a47422000a9e28eb_7.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha: “Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.†...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jzk3m2BiKwwVo*UCMi4LSOONUJXzzbSGyd1Hl5rQ3IGpcJKcfi*OX24SQxNMVV6AxQON6788nV1Jk0a*HgoAYIqW/woloper.jpg)
SKENDO YA FREEMASON YAMGANDA WOLPER
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2XoC4UL*-F1qL9B13332NKIh*xDQBzeq1EPOqEdWHQIar5NlHa6UEN*Xg9RXG1qmSg1YtuVo8XvWi-2tfIlI2g/FRONTIJUMAA.jpg)
SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoZhZqqxuq33m3wpti294p6QdDZ*1YVV41YoWrF5Jr0ngwrTBAga0GQgSfU36mU949voXFwOx1HFqS5w9irC634/zachembe.jpg?width=650)
WOLPER, KUWAJALI WAZAZI SIYO FEDHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4zquq6ya86CW-lc3txy2ENRC4woiHb31mIuZty3k-s7LYjFte7imLkEmlta3StuZl7nRHnG3lIyf01ElID7DlW5/Wolper.jpg)
WAZAZI WA MANAIKI WAMTOLEA NJE WOLPER
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Wazazi wa Manaiki Wamtolea Nje Wolper
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa mrembo na mwigizaji, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao.
“Yaani nimeamini kabisa mbio za sakafuni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuB8-a3*BRLlcswaEbWFTznY3xaqsIM8icLM2nQ-VlkszXEZqApn5i7LDPX*BAbD2*cbcwbBcu38vCNo7inOGgD3/ergtertertetetetertet.jpg)
WAZAZI WAMTAKA WOLPER AKAISHI NYUMBANI KWAO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLpkkR48mQhJRf7*i05N0tjIvPxIS21ijpLKsHvfQtk24*Ns9LjI-iF5ODDZZkwVSyRSoJ67ofAOWK0IgmLbATgP/Back.jpg?width=650)
MCHUNGAJI ADAIWA KUTELEKEZA MKE
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Ashitakiwa kwa kutelekeza familia
MFANYABIASHARA Baseif Salum (46), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu shitaka la kutelekeza familia.
Mbele ya Hakimu Benjamin Mwakasonda, Karani Hatanawe Kitogo, mwishoni mwa wiki alidai mshitakiwa alitenda kosa hilo Januari Mosi mwaka huu, saa 4:00 asubuhi, eneo la Kariakoo, wilayani Ilala.
Anadaiwa kumtelekeza mkewe Rahma Said na watoto wawili bila kumpatia huduma yoyote, huku akijua anatenda kosa hilo kinyume cha sheria.
Mshitakiwa alikana kutenda...