WAZAZI WAMTAKA WOLPER AKAISHI NYUMBANI KWAO
![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuB8-a3*BRLlcswaEbWFTznY3xaqsIM8icLM2nQ-VlkszXEZqApn5i7LDPX*BAbD2*cbcwbBcu38vCNo7inOGgD3/ergtertertetetetertet.jpg)
Waandishi wetu MTU kwao! Licha ya kuwa staa wa muvi za Bongo, mwigizaji kiwango, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuitwa na wazazi wake kwenda kuishi nyumbani kwao, Kibaha mkoani Pwani ili kuepukana na skendo za kila mara za mjini. Staa wa muvi za Bongo, mwigizaji kiwango, Jacqueline Wolper Massawe. Kwa mujibu wa chanzo, Wolper amewekewa msimamo huo na wazazi wake, hususan mama yake mzazi aliyemwambia kwa kuwa ana usafiri...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO
10 years ago
MichuziMHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CxxTONhbP6A/VFUIGn-_X6I/AAAAAAAGun8/sbwRyghldAg/s72-c/unnamed.jpg)
news alert: binti wa miaka 12 atoweka nyumbani kwao temeke, dar es salam, wazazi wanamtafuta
![](http://3.bp.blogspot.com/-CxxTONhbP6A/VFUIGn-_X6I/AAAAAAAGun8/sbwRyghldAg/s1600/unnamed.jpg)
Jina: Mwasiti Abdulrazack Kakurwa.
Umri miaka 12. Rangi ya mwili: Mweusi.
Mara ya mwisho alivaa T-shirt iliyoandikwa Mnazi Mmoja primary School, na alijifunika mtandio mweusi. Ametoweka jana jioni maeneo ya mtaa wa Berege, Tandika, Temeke, Dar es salaam.Yeyote atayemuina ama mwenye taarifa zake tunaomba taarifa zipelekwe katika kituo chochote cha polisi ama Kituo cha police tandika, Temeke, na police Chang'ombe, Dar es salaam. Ama kwa Mzazi Abdurazack Kakurwa, namba ya simu 0713 835699, au...
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Mtoto awa mfungwa nyumbani kwao
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Picha: JB Akiwa Nyumbani Kwao kwa Mzee Wake
Leo ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa kwa mzee wake.
Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.
“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha huyo hap juu akiwa na mzee wake.
Picha huyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4zquq6ya86CW-lc3txy2ENRC4woiHb31mIuZty3k-s7LYjFte7imLkEmlta3StuZl7nRHnG3lIyf01ElID7DlW5/Wolper.jpg)
WAZAZI WA MANAIKI WAMTOLEA NJE WOLPER
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Wazazi wa Manaiki Wamtolea Nje Wolper
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa mrembo na mwigizaji, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao.
“Yaani nimeamini kabisa mbio za sakafuni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoZhZqqxuq33m3wpti294p6QdDZ*1YVV41YoWrF5Jr0ngwrTBAga0GQgSfU36mU949voXFwOx1HFqS5w9irC634/zachembe.jpg?width=650)
WOLPER, KUWAJALI WAZAZI SIYO FEDHA