Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER, KUWAJALI WAZAZI SIYO FEDHA

Jackline Wolper . NINAMFAHAMU Jacqueline Wolper, kama mmoja wa mastaa wa filamu za Kibongo. Anajitahidi kuigiza na muonekano wa mwili wake unamsaidia sana kuvutia mashabiki.
Siku kadhaa nyuma, niliwahi kuwa mmoja wa waandishi waliokuwa wakifanya naye mahojiano maalum ofisini kwetu. Anajua kujieleza na ni mtulivu katika kujibu maswali anayoulizwa, huenda kwa vile anajua athari za maneno ya haraka, yasiyoeleweka na… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZAZI WA MANAIKI WAMTOLEA NJE WOLPER

Na Imelda Mtema/Amani
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper. Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga akiwa na Jacqueline Wolper. Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wazazi wa Manaiki Wamtolea Nje Wolper

Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa mrembo na mwigizaji, Jacqueline Wolper.

Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao.

“Yaani nimeamini kabisa mbio za sakafuni...

 

11 years ago

GPL

WOLPER ACHOMOA SKENDO YA KUTELEKEZA WAZAZI

Stori: Mayasa Mariwata Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha: “Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” ...

 

10 years ago

GPL

WAZAZI WAMTAKA WOLPER AKAISHI NYUMBANI KWAO

Waandishi wetu
MTU kwao! Licha ya kuwa staa wa muvi za Bongo, mwigizaji kiwango, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuitwa na wazazi wake kwenda kuishi nyumbani kwao, Kibaha mkoani Pwani ili kuepukana na skendo za kila mara za mjini. Staa wa muvi za Bongo, mwigizaji kiwango, Jacqueline Wolper Massawe. Kwa mujibu wa chanzo, Wolper amewekewa msimamo huo na wazazi wake, hususan mama yake mzazi aliyemwambia kwa kuwa ana usafiri...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ukimwi siyo mradi wa kujivunia fedha’

Wadau wa mapambano dhidi ya Ukimwi wametakiwa kuacha mazoea ya kuona kuwa mapambano dhidi ya ugonjwa huo ni mradi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jacqueline Wolper aponda mapenzi ya fedha

STAA wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, amesema hana mpango wa kuwa na mume tajiri, hivyo amewataka wasihangaike kumtafuta. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wolper alisema hapendi wanaume wenye...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM imejali fedha za wagombea siyo demokrasia

Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipofungua milango kwa makada wake wanaojiona wana sifa ya kuwania urais wakachukue fomu, wananchi wameshuhudia msururu mrefu wa makada hao wakitangaza nia kwenye mikutano ya hadhara na pili wakichukua fomu za udhamini.

 

10 years ago

Vijimambo

Mkuya: Siyo kosa Watanzania kuweka fedha Uswisi

Hata hivyo, amsema serikali inaangalia ripoti ya Swiss Leaks ili kuona uhalali wa akaunti hizo za siri.

“Sisi hatujaona kama ni kosa kwa Watanzania kuwekeza fedha zao kwenye mabenki ya nje na wala isionekane kama ni jambo haramu kabisa.

Kama serikali tungetamani wawekeze kwenye benki nchini ili kukuza sekta ya fedha lakini pia hatuwafungi kutowekeza nje,” alisema.

“Tunachofanya ni kuiangalia hiyo ripoti ili kujua ukweli wa taarifa hizo, lakini taarifa hiyo haimaanishi kwamba ni kosa kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani