Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM imejali fedha za wagombea siyo demokrasia

Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipofungua milango kwa makada wake wanaojiona wana sifa ya kuwania urais wakachukue fomu, wananchi wameshuhudia msururu mrefu wa makada hao wakitangaza nia kwenye mikutano ya hadhara na pili wakichukua fomu za udhamini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Demokrasia iwe kwa wote, siyo matajiri pekee

>Hatukushangazwa hata kidogo na hatua ya baadhi ya wanachama wa CCM wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge, kulalamikia utaratibu uliowekwa na chama hicho unaowataka kutoa kiasi kikubwa cha fedha kama mchango wa kampeni za kujinadi kwa wananchi katika majimbo yao.

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO: Tujadili matatizo ya Taifa letu, siyo wagombea

Tunapoelekea Uchaguzi Mkuu ni muhimu kuachana na mijadala kuhusu watu na vyama vyao vya siasa, kasumba ya kuwaabudu watu na kufikiri kwamba kuna mtu mmoja mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika taifa letu, tuanze kujadili matatizo ya taifa letu. Tukiyajadili na kuyafahamu vizuri, pamoja tunaweza kufikiria ufumbuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ukimwi siyo mradi wa kujivunia fedha’

Wadau wa mapambano dhidi ya Ukimwi wametakiwa kuacha mazoea ya kuona kuwa mapambano dhidi ya ugonjwa huo ni mradi.

 

11 years ago

GPL

WOLPER, KUWAJALI WAZAZI SIYO FEDHA

Jackline Wolper . NINAMFAHAMU Jacqueline Wolper, kama mmoja wa mastaa wa filamu za Kibongo. Anajitahidi kuigiza na muonekano wa mwili wake unamsaidia sana kuvutia mashabiki.
Siku kadhaa nyuma, niliwahi kuwa mmoja wa waandishi waliokuwa wakifanya naye mahojiano maalum ofisini kwetu. Anajua kujieleza na ni mtulivu katika kujibu maswali anayoulizwa, huenda kwa vile anajua athari za maneno ya haraka, yasiyoeleweka na… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkuya: Siyo kosa Watanzania kuweka fedha Uswisi

Hata hivyo, amsema serikali inaangalia ripoti ya Swiss Leaks ili kuona uhalali wa akaunti hizo za siri.

“Sisi hatujaona kama ni kosa kwa Watanzania kuwekeza fedha zao kwenye mabenki ya nje na wala isionekane kama ni jambo haramu kabisa.

Kama serikali tungetamani wawekeze kwenye benki nchini ili kukuza sekta ya fedha lakini pia hatuwafungi kutowekeza nje,” alisema.

“Tunachofanya ni kuiangalia hiyo ripoti ili kujua ukweli wa taarifa hizo, lakini taarifa hiyo haimaanishi kwamba ni kosa kubwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM na ubakaji wa demokrasia

DODODMA, uliteuliwa mwaka 1972 kuwa makao makuu ya chama na serikali enzi za chama cha ukombozi; yaani, Tanganyika Africans National Union (TANU) na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tangu hapo,...

 

10 years ago

Habarileo

‘Epukeni wagombea wenye kutoa fedha’

WATANZANIA wametakiwa kujihadhari na wanasiasa wanaowania urais, ubunge na udiwani kwa kutumia fedha ili kuepusha taifa kuongozwa na watu wenye nguvu za fedha, badala ya kusimamia Katiba ya nchi.

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ZANZIBAR WAZINDUA KAMPENI ZAO UWANJA WA DEMOKRASIA KIBANDA MAITI UNGUJA

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi irani ya ccm, mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za chama hicho uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, mjini Unguja jioni ya leo. Picha na OMRRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti...

 

9 years ago

Bongo Movies

Aunt ezekiel: Nimezaliwa Kisarawe, Siyo CCM

STAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe.

Akiendelea kucharuka mbele ya Amani, Aunt alisema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima katika mchezo kuna upande utashinda na mwingine utashindwa hivyo atakubali yote.

“Ninachojua mwisho wa siku lazima kuna mshindi na mshindwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani