Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM na ubakaji wa demokrasia

DODODMA, uliteuliwa mwaka 1972 kuwa makao makuu ya chama na serikali enzi za chama cha ukombozi; yaani, Tanganyika Africans National Union (TANU) na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tangu hapo,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Kada CCM mbaroni kwa ubakaji, ujambazi

JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhani Busega ambaye ni Mwenyekiti wa Kata ya Mawamanyili, wilayani Busega kwa tuhuma za ujambazi na ubakaji. Pia...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM imejali fedha za wagombea siyo demokrasia

Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipofungua milango kwa makada wake wanaojiona wana sifa ya kuwania urais wakachukue fomu, wananchi wameshuhudia msururu mrefu wa makada hao wakitangaza nia kwenye mikutano ya hadhara na pili wakichukua fomu za udhamini.

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ZANZIBAR WAZINDUA KAMPENI ZAO UWANJA WA DEMOKRASIA KIBANDA MAITI UNGUJA

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi irani ya ccm, mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za chama hicho uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, mjini Unguja jioni ya leo. Picha na OMRRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kosa la ubakaji — 2

Katika sehemu ya kwanza ya makala hii ya ubakaji, nilisema kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu Penal code CAP 16  R.E2002; neno kubaka lina maana pana ukilinganisha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afganistani kupambana na Ubakaji

Afganistani inachukua hatua ya kukabiliana na kundi linadaiwa kuhusika na ubakaji.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kizimbani kwa ubakaji


NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Dar es Saalam Juma Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shitaka la ubakaji.
Omary (65), alisemewa shitaka hilo jana, mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka Faustine Sylvester mbele ya Hakimu Boniphace Lihamwike.
Sylvester alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Agosti 19, mwaka huu, muda usiofahamika, katika mtaa wa Mkunguni, Kinondoni.
Mshitakiwa alikana shitaka hilo na alirudishwa rumande, baada ya kushindwa kutimiza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ubakaji watoto Zanzibar

Vitendo vya udhalilishaji watoto ikiwemo ubakaji visiwani Zanzibar vimeelezwa kuongezeka na kuleta athari kwa watoto hao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ubakaji 'Silaha ya vita'

Viongozi wanakutana kuchukua hatua madhubuti dhidi ya visa ubakaji na unyanyasaji wa kimapenzi unaotumika kama silaha wakati vita

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ubakaji waongezeka Pwani

JUMLA ya matukio 438 yameripotiwa mkoani Pwani kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita ambapo kati ya hayo 301 ni ya ubakaji ambayo yanaonekana kuongezeka. Akizungumzia juu ya utekelezaji wa masuala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani