Ubakaji watoto Zanzibar
Vitendo vya udhalilishaji watoto ikiwemo ubakaji visiwani Zanzibar vimeelezwa kuongezeka na kuleta athari kwa watoto hao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eQPXYC70aYY/XuC5JFSSvMI/AAAAAAALtU0/jb-I3Xs9CjUVJb1TgoUdWzS0eP7OguDIACLcBGAsYHQ/s72-c/2-8-768x432.jpg)
DC JOKATE AKEMEA VIKALI UTORO,MIMBA ZA UTOTONI NA UBAKAJI KWA WATOTO WADOGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-eQPXYC70aYY/XuC5JFSSvMI/AAAAAAALtU0/jb-I3Xs9CjUVJb1TgoUdWzS0eP7OguDIACLcBGAsYHQ/s640/2-8-768x432.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/3-11-1024x576.jpg)
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Mussa Gama akitoa mada wakati wa mkutano huo ambao aliuandaaa kwa ajili ya kuwakutanisha viongozi na watendaji mbali mbali wa ngazi za vijiji, kata pamoja na tarafa ili kujadili...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-BFE_pHrSCeY/XplS4gxrsWI/AAAAAAAAyIo/foDoAoe2WMMhSUK6Xnwbo3_PkBQykuyuQCLcBGAsYHQ/s72-c/2-20-768x433.jpg)
KATAVI: UBAKAJI WATOTO WA CHINI YA MWAKA HADI MIAKA MINNE UNAHUSISHWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA
![](https://1.bp.blogspot.com/-BFE_pHrSCeY/XplS4gxrsWI/AAAAAAAAyIo/foDoAoe2WMMhSUK6Xnwbo3_PkBQykuyuQCLcBGAsYHQ/s400/2-20-768x433.jpg)
Akizungumzia matukio hayo Afande Clara Ndamukyana wa kitengo cha Dawati la Jinsia mkoa wa Katavi amesema hali hiyo inasababishwa na waganga wa jadi wanaowadanganya wateja wao
“Baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa wanasema waganga waliwaeleza kuwa wakipata mabinti ambao...
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Ukatili unaofanyiwa watoto Zanzibar
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
UN yaokoa maisha ya watoto 3000 Zanzibar
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari wa Zanzibar kwenye ofisi ndogo za mashirika ya Umoja wa Mataifa visiwani Zanzibar kuhusiana na mafanikio ya mradi wa kusaidia maendeleo nchini Tanzania (UNDAP) ulioanza mwaka 2011 na sasa ukiwa ukingoni. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO)...
10 years ago
Dewji Blog13 Jan
Zanzibar kujenga wodi maalumu ya watoto
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto. Pembeni kwa Balozi Seif ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikal ya Mapinduzi ya Zanzibar ina nia ya kutaka kujenga Wodi maalum kwa ajili ya kulazwa watoto wadogo wanaopatwa na majanga mbali mbali ya...
11 years ago
MichuziVODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Machozi ya Aisha wa Zanzibar kwa watoto wake kubakwa
11 years ago
GPLVODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR