Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN yaokoa maisha ya watoto 3000 Zanzibar

DSC_0152

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari wa Zanzibar kwenye ofisi ndogo za mashirika ya Umoja wa Mataifa visiwani Zanzibar kuhusiana na mafanikio ya mradi wa kusaidia maendeleo nchini Tanzania (UNDAP) ulioanza mwaka 2011 na sasa ukiwa ukingoni. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO)...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kunyonyesha kunaokoa maisha ya watoto

Umoja wa Mataifa unasema kuwa takriban watoto 800,000, walio chini ya mwaka mmoja wanaweza kuokolewa kila mwaka kwa kunyonyeshwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Maisha ya watoto yanavyopotea kutokana na udumavu

Taifa lenye maendeleo linahitaji watu wenye afya ya mwili na akili. Lakini huenda Tanzania ikaendelea kuathirika kwa kuwa na watoto wenye udumavu wa akili na mwili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto 1,000 hupoteza maisha kila mwaka

IMEELEZWA kuwa watoto 1000 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kila mwaka upoteza maisha kutokana na wazazi wao kuhusisha ugonjwa huo na imani za kishirikina. Mwenyekiti wa Chama cha Watoto...

 

5 years ago

BBCSwahili

Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne

Je ni vipi unaweza kuwalea mapacha wanne?. Mama Dirvina Joseph Mwanamke kutoka Kenya alijifungua anatushirikisha jinsi anavyowashughulikia watoto wake wanne wenye umri wa miaka 3

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fawopa-Tanzania: Tuwajali watoto wenye maisha magumu

UMASKINI uliokithiri nchini hasa katika ngazi ya familia ndio chanzo cha kuwepo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika zinazokabiliwa na wimbi kubwa...

 

9 years ago

StarTV

Mashirika,Asasi zatakiwa kuokoa maisha ya watoto njiti

Kufuatia kuzidi kuongezeka kwa vifo vya watoto njiti nchini takribani watoto laki mbili na kumi wanaozaliwa kwa mwaka ni elfu tisa pekee ndiyo wanafanikiwa kupata huduma za matibabu na kuishi.

Kutokana na ongezeko hilo la vifo vya watoto njiti, mashirika pamoja na asasi binafsi zimetakiwa kujitokeza kutoa misaada ya mashine za kusaidia kupumua na za kutolea uchafu kwa watoto hao na si mpaka kuisubiri Serikali kufanya kazi hiyo.

Akibainisha hayo mshirika wa Doris Moleli Faundation amesema...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya 50% ya maisha ya watoto wenye ugonjwa Saratani  yaokolewa

Katika kipindi cha miaka mitano, tangu Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya waanzishe kitengo cha ugonjwa wa Saratani kwa watoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zaidi ya asilimia 50 ya maisha ya watoto wenye ugonjwa huo yameokolewa.

Awali katika wodi ya watoto wenye tatizo hilo kwenye taasisi ya Saratani ya Ocean Road ni asilimia 10 tu ya watoto hao walioweza kuokolewa maisha.

Umasikini na  uelewa mdogo katika ugonjwa  Saratani  ni miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la...

 

10 years ago

Vijimambo

TUKISHIRIKIANA TUTAOKOA MAISHA YA AKINA MAMA WENGI NA WATOTO

Dkt, Andrea Atzori akiwa na Bi. Tully Mwaipopo, Afisa wa Uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mara baada ya uzinduzi wa onyesho hiloBalozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa akizungumza wakati wa uzinduzi wa onyesho la picha lililoandaliwa kwa ubia baina ya Wakilishi za Kudumu za Italia na Tanzania. Onyesho hilo linahusu huduma za afya ya mama na mtoto zinazotolewa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Doctors with Africa CUAMM katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani